ASKOFU BALINA AFARIKI DUNIA

1945-2012

Askofu mkuu wa jimbo la shinyanga mhashamu Aloysius Balina  amefariki dunia akiwa katika hospital ya lufaa Bugando jijini mwanza, Askofu Balina aliyezaliwa 23/06/1945 katika kijiji cha Isoso wilaya ya Bariadi mkoa wa Shinyanga . Aliwekwa wakfu kuwa kuwa askofu wa Geita mwaka 1984 na september 23 mwaka 1997 alihamishiwa jimbo la shinyanga ambapo amekua Askofu mkuu wa jimbo hilo hadi kifo kinamkuta, BWANA alitoa na BWANA ametwaa jina la BWANA lihimidiwe

Comments