NITAKURUDISHIA AFYA NAMI NITAKUPONYA JERAHA ZAKO

Photo: www.maishaushindi.blogspot.com
MUNGU NDIYE MSAADA NA KIMBILIO WAKATI WA SHIDA
YEREMIA 30:17 {Maana nitakurudishia afya nami nitakuponya jeraha zako asema BWANA, Kwa sababu wamekuita mwenye kutupwa wakisemani sayuni hakuna mtu autakaye} ndugu tumia neno la MUNGU hili kuomba kupona ugonjwa wowote unaokusumbua na mwambi
e MUNGU kwamba neno lake ni ndiyo na hakika na yeye MUNGU analiangalia neno lake ili alitimize hakika utapona na wewe utamtukuza MUNGU ila maombi yote yawe katika jina la YESU na ukijua kuwa maombi ya mtu asiye haki MUNGU hayajibu hivyo kutubu kwanza ni muhimu na kuazimia kuacha dhambi zote itakusaidia sana kwani MUNGU anajua yote hata kama unaomba MUNGU akuponye huku unajua kabisa nikipona nitarudia maovu yangu tambua ya kuwa MUNGU anajua yote hata mawazo yetu hivyo kama unatubu tubu huku ukijua kwamba MUNGU hazihakiwi hivyo ukitubu tubu huku umeamua kuacha kabisa hiyo dhambi na MUNGU lazima akujibu. ubarikiwe sana { UBARIKIWE SANA HII NI KUTOKA MAISHA YA USHINDI PAGE YA FACEBOOK. BARIKI NA JIFUNZE NA MUNGU AKUBARIKI SANA NA PIA KAMA UNA HABARI ZA KIKRISTO, USHUHUDA WA KWELI NA MASOMA YA KUFUNDISHA ILI WATU WABARIKIWE NA KUJIFUNZA TUTUMIE KWA ANUANI HIZI mabula86@yahoo.com au mabula1986@gmail.com pia www.facebook.com/maishaYaUshindi. au mabula86@facebook.com}

Comments