MKRISTO HALISI



MKRISTO HALISI
 

 
  1. Toba; Mkristo  halisi ni lazima awe amemkiri Yesu kama Bwana na Mwokozi wa maisha yake. ( Matendo 2:38)



  1. Mkisto lazima awe amebatizwa kwa maji mengi ( Mathayo 28:18-20)



  1. Awe amejazwa na Roho Mtakatifu na ishara ya kunena kwa lugha ( Marko 16:15,Matendo 19:6)



  1. Awe amelelewa na kupata mafundisho ktk kanisa la imani ya Kristo ( Yohana 8:32, 1Petr 2:2)



  1. Awe tayari kuhubiri injili ya kweli na shahidi mwaminifu wa Kristo ( Mathayo 28:18-20; Marko 16;15-18

  1. Mkristo wa kweli ni yule anayeshiriki meza ya Bwana mara kwa mara (Mathayo 26:26-29;  1Wakornth 11:23-26)



  1. Awe mwenye ushirika na Mungu wa maombi wakati wote wa maisha yake ( Matendo 2:42,  6;4)



  1. Awe mfano kwa jamii inayomzunguka ktk usafi, usemi, mwenendo na imani ( 1Timith 4;2)


  1. Awe  anayeishi daima ktk imani ( Waebrania 11:16)
 
 

Comments