MWAKA WA 39 WA MAPINDUZI YA ZANZIBAR


ASKARI WA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA{JWTZ} WAKIPITA KWA HESHIMA MBELE ZA MGENI RASMI

RAISI KIKWETE AKISALIMIANA NA RAISI SHEIN NA WA KWANZA NI MKUU WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA GENERALI DAVIS MWAMNYANGE

KANISA LIKIWA LIMECHOMWA MOTO
 Leo tarehe 12 Jan 2013 wananchi wa visiwa vya unguja na pemba wanaadhimisha miaka 39 ya mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika usiku wa tarehe 12 Jan 1963.Kama watanzania hii ni hatua muhimu sana ya mafanikio na maendeleo.Katika mwaka 2012 miladi mingi ya maendeleo imezindiliwa  na maendeleo ya kweli yanaonekana japokua mwaka 2012 tumeshuhudia matukio mengi sana na matukio mabaya zaidi ni ya makanisa kuchomwa moto na watu wasiojulikana na hadi mwaka unaisha kwa mujibu wa umoja wa wachungaji zanzibar jumla ya makinisa 6 yalichomwa moto ambayo ni ]ni Kanisa la EAGT, Elimu Pentekoste, TAG, Anglikana, Katoliki na FPCT. na uharibifu mkubwa sana ulifanika na mfano katika kanisa la TAG kariakoo jumla ya BIBLIA takatifu 50 zilichomwa moto hii ni dhambi mbaya sana mbele za MUNGU na tunachoshukuru MUNGU hakukuwa na kulipisa kisasi chochote kutoka kwa kanisa.ushauri wangu ni kwamba serikali ihakikishe kila mtu anapewa uhuru wa kuabudu kama haki yake ya msingi na bila kubuguziwa  na hakuna haya ya kuwa na chuki za kidini  bali mshikamano kama wazanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi wakati alipomaliza
kukagua gwaride la  Vikosi vya ulinzi katika kilele cha sherehe za
kutimiza Miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, zilizofanyika leo
katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.

Baadhi ya Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za kilele cha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Zanzibar.

vifaa vya kanisa vikiwa vimechomwa moto
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein, akikagua Gwaride wakati wa Sherehe za Mapinduzi, zilizofanyika leo kwenye Uwanja wa Amani mjini Zanzibar. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza  na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Amani Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kuhudhuria katka sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar. 

Comments