MWANA MAISHA YA USHINDI AFUNGA NDOA

Mmoja wa wana maisha ya ushindi Baraka Audax amefunga ndoa takatifu  na Karoline Kessy  tarehe 29 dec 2012 huko katika kanisa la P A G city centre Chukwani Zanzibar.Ibada ya ndoa iliendesha na Askofu wa jimbo la Dar es salaam kanisa la Pentecostal Assemblies of God {PAG} Askofu Mwende. na baada ya ndoa kufungwa kanisani ilifuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika kayika ukumbi wa magereza.
BIBI HARUSI AKIWASILI KANISANI NA WALIO NYUMA WENYE SHATI ZA BLUE NI BENDI YA JESHI [JWTZ]
BI HARUSI BAADA YA KUFIKA KANISANI AKIWA NA WAPAMBE WAKE
IBADA IKIENDELEA NA MUDA WA WANAKWAYA WA PAG CHUKWANI KUIMBA
BI HARUSI TAYARI KUINGIA KANISANI
BARAKA AKIMHAKIKI KAMA KWELI HUYU NDIE KAROLINE
BARAKA NA KAROLINE WAKIWA KANISANI
KAROLINE AKIMVISHA BARAKA PETE YA NDOA

WACHUNGAJI NA ASKOFU WAKIWAOMBEA BAADA YA KILA MMOJA KULA KIAPO CHA NDOA


ASKOFU MWENDE AKIMUELEKEZA BARAKA SEHEMU YA KUSAINI CHET CHA NDOA
BARAKA AKISAINI
KAROLINE AKISAINI CHET CHA NDOA

ASKOFU AKIWASOMEA TARATIBU ZA NDOA



WAKATI WA KEKI



MAMA MZAZI WA BARAKA AKIWA NA NDUGU WENGINE

Comments