MAOMBI YANAHITAJIKA KWA AJILI YA MKE WA JOSEPH NYUKI AMBAYE YUKO ACU.

BWANA YESU asfiwe watu wa MUNGU nimeingia fecebook na kukutana na habari ya kushitua kuhusu mwimbaji nguli wa nyimbo za injili Tanzania Joseph Nyuki, ambapo katika wall yake ameandika kuwaomba wanamaombi kokote waliko kumwombea mkewe ambaye yuko ICU.
Ndugu zangu wapendwa naomba tuungane na Mr Nyuki kumwombea mkewe ili apone.

Maelezo ya Joseph Nyuki ni haya hapa..

Jamani watu wa Mungu allie juu
Nisaidieni pia nanyi kwa maombi
Mke wangu yupo ICU.


Mke wa Joseph Nyuki akiwa ICU.
Mwimbaji mahiri wa nyimbo za injili Joseph Nyuki akiwa na mkewe pamoja na mtoto wao.

Comments