Video ya Ushuhuda Wa MBINGU na KUZIMU - Nyisake Chaula

BWANA YESU asifiwe! Nimewahi kuuweka ushuhuda huo hapa katika audio na sasa nimeupata katika video. naomba ndugu yangu utazame video hii ambayo itakujenga sana kiimani. ubarikiwe sana.

Comments