Mwl. Christopher Mwakasege Kutikisa mbeya kuanzia tarehe 19 Oct 2014.

Mwl. Christopher Mwakasege
Semina ya Mwl. Christopher & Diana Mwakasege(Mana Ministry) itafanyika Mbeya mjini kuanzia tarehe 19/10-26/10/2014.
Viwanja vya OTTU-Mwanjelwa kila siku kuanzia saa tisa Alasiri mpaka saa 12 Jioni.

JIANDAE KUPOKEA.

 

Comments