Mh.Edward Lowasa azindua Helicopter ya Mchungaji Gwajima wa kanisa la Ufufuo na Uzima

Mh Edward Lowassa amewahutubia waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima katika Uzinduzi Wa helkopta ya Kuhubiri Injili pamoja na kusaidia zoezi la uokoaji wa majanga mbalimbali kama vile wakati wa Ajali,Mafuriko,Moto nk. Mh Lowassa amesema atashirikiana nao na kuhakikisha wanapata eneo la kudumu la kuabudia.Kwa upande wake Mchungaji Kiongozi wa Kanisa hilo Josephat Gwajima amesema Mpango wao ifikapo mwezi kama huu mwakani watakuwa wameshaagiza helkopta nyingine tatu kwa ajili ya kuhubiri injili na kusaidia katika shughuli za kijamii.
 
 
Mgeni Rasmi wa uzinduzi na uwekwaji wa Helkopta ya Kanisa la Ufufuo na Uzima Mh. Edward Lowassa akisalimiana na baadhi ya wachungaji baada ya kuwasili kanisani.



 
 
 Pastor Deo Lubala akisema neno...
 
Mtume Venon Hernandez alikuwepo pia.
Mchungaji kiongozi wa kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima akisema neno wakati wa ibada ya uzinduzi leo
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 Picha zote na kijana wa nguvu John Pazia

Comments