MWILI WA MWIMBAJI MASHUHURI GEOGE NJABILI WAAGWA KANISANI MTONI KKKT.



George Godwin Njabili enzi za uhai wake akimtukuza MUNGU kanisani.
Mwili wa aliyekuwa mwimbaji na mwalimu wa kwaya ya uinjilisti mtoni au maarufu kwa jina la Lulu choir George Njabili(aliyevuma kwa wimbo wa around the corner, jesus is comming) jana Jumapili uliagwa katika kanisa la kiinjili la kilutheri Mtoni. Wapendwa katika BWANA walimuaga mpendwa wao ambaye hakika aliifanya kazi ya BWANA YESU vizuri sana.

Hizi hapa baadhi ya Picha wakati mwili wa George Njabili ukiingia kanisani Mtoni KKT.

 ukiingizwa kaanisan mchana huu kwa ajili ya kuagwa.na watoto wake wakiwa wamebeba msalaba na picha ya george.pumzika kwa amani mpendwa wetu.
BWANA alitoa na BWANA ametwaa, Jina la BWANA libarikiwe.
Muone Geoge akiimba wimbo huu.

Mwili wa Marehemu George ukiingizwa kanisani.

Mwili wa George Njabili ukiingizwa kanisani Mtoni KKKT mchana wa jana kwa ajili ya kuagwa. Waliobeba msalaba ni  na picha ya Marehemu George ni  watoto wa marehemu George  Njabili

Wakati wa kuuaga mwili wa marehemu George Njabili Kanisani. 


Comments