SEMINA YA KWANZA 2015 YA MWL MWAKASEGE INAANZIA ARUSHA JAN 4

Bwana Yesu Asifiwe!
Omba kwa ajili yetu ili kusudi la Bwana tulitekeleze tunapofanya semina yetu ya kwanza ya mwaka huu hapa Arusha mjini, kuanzia  4 januari hadi jumapili ijayo tarehe 11 januari. Semina hii itafanyika uwanja wa Reli kila siku katika siku hizo, kuanzia saa 9 mchana hadi saa 12 jioni. Tutakuwa "Live" kupitia www.mwakasege.org, www.kicheko.com na ustream http://www.ustream.tv/channel/mwakasegemanaministry.
Pia tutakuwa live kupitia radio sauti ya injili(kutoka Moshi), radio safina(kutoka Arusha) na radio HHC Alive(kutoka Mwanza).
Mungu awabariki sana!

By Mwl Mwakasege.



Comments