TAMASHA LA PASAKA:Matukio katika picha uwanja wa Taifa.

Solly Mahlangu

Christina Shusho katika mahojiano.
Waheshimiwa Mawaziri walikuwepo pia, Mwishimiwa Mhe. Kairuki, Mhe. Membe, Mhe. Mukangara, pamoja na Askofu Mwasota pamoja na Muandaaji wa Tamasha la Pasaka Alex Msama.


Rose Muhando kazini.
Kijitonyama Upendo group wakifanya makamuzi


Mwimbaji anayembariki MUNGU na watu wote,John Lisu

Rebecca Malope akiwa kazini.



Muhando akimtukuza MUNGU.


 Mwanamuziki Rebeca Malope akiperfom na kuimba na mashabiki 



Kama hujawahi kubarikiwa basi mbele ya hawa waimbaji wa Solly Mahlangu utabarikiwa tu.




mwanamuziki Solly Mahlangu 








Mpiga Solo Guitar wa Solly Mahlangu


Mwanamuziki SollyMahlangu kutoka Afrika Kusini pamoja na mke wake na watoto wake wakiperfom katika Tamasha la Pasaka
Mwanamuziki SollyMahlangu kutoka Afrika Kusini pamoja na mke wake na watoto wake wakiperfom katika Tamasha la Pasaka


Rose Muhando akiperfom katika tamasha hilo
Pastor,Faustine Munish na Upendo Nkone ndani ya tabasamu muruaa

Mh.Bernad Membe waziri wa mambo ya nje akimlisha Keki Mr.Alex Msama

Waimbaji wa Solly Mahlangu (Back Vocal)
Credits:Uncle Jimmy

Comments