Ujumbe: KUZIMU KUMEONGEZA TAMAA YAKE.

Na Mtume Peter Rashid Abubakar.
Naomba nikufundishe somo hili la muhimu Sana. KUZIMU KUMEONGEZA TAMAA YAKE.
MUNGU kanifunulia tena mbinu iliyomwagwa mwaka 1978 na ilitangazwa itaanza kutumika rasmi mara tu ifikapo mwaka 2015. Na walioandaa mpango huo ni IDARA YA FREEMASON ambayo kihistoria ilianza rasmi mwaka 1720 ndipo walipojenga PIRAMIDI LA KWANZA likiwa na ngazi 33. Na mwaka 1726-1776: Freemason walijitangaza eti wao ni WAANGAZA NURU.
GEORGE WASHINGTON & ADOF HITLE Hawa ndio miongoni mwa waasisi(Founders )


Makao makuu yao Freemason ni:

- ZANZIBAR-Jumba lao no 3084. 
-Dar es salaam: Posta mpya linatazamana na kanisa la KKKT Maeneo hayo. 
-Kenya-Nairobi(East Lee). 
-Uganda-Kampala.

Mwaka 1968-kilitupwa chombo hewani kinafanana kama JET au ROKET(Kinachoendesha Vyombo vyote vya baharini. CHINI YA ARDHI-Kuna SUPER COMPUTER inayosaidiana na hiyo ROKET AU JET. Na Ubelgiji ipo Computer pia.
Pia kuna PUNJE YA MCHANGA (inafanana kama kidonge ) unapewa kama dawa;
wengine wanawekewa ktk miili yao(UZAZI WA MPANGO) Wakidanganywa hivyo.
KAZI YAKE VYOMBO HIVI: Chochote unachofikiri; Unapokwenda au Ufanyacho ukiwa hapa duniani-Mawasiliano wanayapata. RICHARD DICKSON (MMAREKANI) Ndiye aliyesimamia hicho kiwanda cha kutengeneza HICHO KIDONGE NA AIDS. Na uchawi upo ktk aina 410 duniani. Pia upo uchawi wa MIONZI Unaoandaliwa kwa miti mitatu na vitu vingine: miti hiyo unapoomba iharibu ambayo ni: (a). Hajal (b). Falzal (c) Mti wa mtende usiozaa. Na vitu vingine kama (d). Nywele (e)Kucha (f) Mafuta ya maiti ya mtoto. Vitu hivi vyote huwekwa ndani ya chupa na kukaa kwa muda Wa siku 7. Kisha yanamwagwa na kuanza kutumwa kwa watu ili kuwafanya miguu yao kufa ganzi; kupooza; miguu kuwaka moto; kuua figo upande mmoja etc. 

Kanisa tuamke tuombe na kuangamiza uchawi huu wa MIONZI YA KICHAWI KTK JINA LA YESU.

Comments