tag:blogger.com,1999:blog-42003720300272788242024-03-26T07:40:41.596+03:00Maisha ya ushindiLuka 12:40 - Nanyi jiwekeni tayari, kwa kuwa saa msiyodhani ndipo ajapo Mwana wa Adamu.Peter Mabulahttp://www.blogger.com/profile/04761488348440672357noreply@blogger.comBlogger3475125tag:blogger.com,1999:blog-4200372030027278824.post-78085082532725757452024-02-08T13:32:00.000+03:002024-02-08T13:32:10.475+03:00TUWE KANISA LENYE NGUVU. Peter na Jemimah MabulaBwana YESU KRISTO alipoondoka duniani aliacha Kanisa lenye washirika 120.Matendo 1:15 "Siku zile akasimama Petro kati ya hao ndugu (jumla ya majina ilipata mia na ishirini), akasema,"Kanisa hili lenye washirika 120 lilikuwa na umoja wa ajabu sana, Kanisa hili walikuwa wamejaa ROHO MTAKATIFU, Kanisa hilo walikuwa watoaji na wanaoishi maisha matakatifu ya Wokovu wa Peter Mabulahttp://www.blogger.com/profile/04761488348440672357noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4200372030027278824.post-22374547107320169212024-01-18T20:15:00.002+03:002024-01-18T20:15:25.210+03:00AINA 5 YA WASOMAJI WA BIBLIA. Na Mwl Peter Mabula. Mtenda kazi katika shamba la Bwana YESU KRISTO Mwokozi wetu aliye hai milele Bwana YESU KRISTO Mwokozi atukuzwe ndugu zangu wote. Karibu tujifunze Neno la MUNGU.Naamini wewe ni Msomaji wa Biblia, kama ni hivyo unafanya vyema sana maana Biblia ndio Neno pekee la MUNGU wa kweli aliyeumba Mbingu na Dunia, ni Neno hai ambalo lina kila kitu Peter Mabulahttp://www.blogger.com/profile/04761488348440672357noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4200372030027278824.post-64047900975055273812023-12-29T15:17:00.004+03:002023-12-29T15:17:56.151+03:00FAIDA ZA KUMSHUKURU MUNGU.
Na Mwl Peter Mabula, Mtenda kazi katika shamba la Bwana YESU KRISTO Mwokozi wetu aliye hai milele
Bwana YESU KRISTO atukuzwe sana ndugu zangu wote.
Wakolosai 3:17 "Na kila mfanyalo, kwa neno au kwa tendo, fanyeni yote
katika jina la Bwana YESU, mkimshukuru MUNGU Baba kwa yeye."
Kwanza maana ya ''kumshukuru MUNGU'' ni kuonyesha ishara ya kuridhika na jambo la wema alilokufanyia MUNGU. Peter Mabulahttp://www.blogger.com/profile/04761488348440672357noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4200372030027278824.post-50192877167101254042023-12-24T18:43:00.003+03:002023-12-24T18:43:46.986+03:00MWANZO WA SIKUKUU YA CHRISTMASMwl Peter Mabula Bwana YESU KRISTO Mwokozi atukuzwe ndugu zangu wote. Tunapoelekea kusherekea sikukuu ya Christmas naomba pia nijibu swali hili ambalo rafiki yangu mmoja ameniuliza December 2023.Ni swali kuhusu Mwanzo wa sikukuu ya Christmas. Christmas ninatokana na neno la kiingeleza lenye maana ya "Christ`s Mass" yaani Misa au Ibada ya KRISTO. Wengine Christmas huita Noeli, ni Peter Mabulahttp://www.blogger.com/profile/04761488348440672357noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4200372030027278824.post-66912056294998988942023-12-24T17:18:00.005+03:002023-12-24T17:18:49.166+03:00MAOMBI YA KUONDOKA KWENYE MLIMA ULIOKAA MUDA MREFU. Na Mwl Peter Mabula, Mtenda kazi katika shamba la Bwana YESU KRISTO MwokoziBwana YESU KRISTO atukuzwe rafiki yangu mahali kokote ulipo.Leo katika awamu hii ya pili tunayo Maombi ya kuomba kuondoka katika Mlima uliokaa Muda mrefu.Ukisoma Kumb 1:6-7 unaona MUNGU akiwaambia Waisraeli waondoke katika mlima waliokaa muda mrefu.Biblia
inasema "BWANA, Mungu wetu, alituambia huko Horebu, Peter Mabulahttp://www.blogger.com/profile/04761488348440672357noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4200372030027278824.post-62308212330876058692023-12-24T17:15:00.006+03:002023-12-24T17:15:34.223+03:00 MAOMBI YA KUTUMIA DAMU YA YESU KRISTO ILI KUONDOA MATATIZO YA KIAGANO, KAFARA, VIAPO NA MANUIZO YA KIPEPO.Na Mwl Peter MabulaBwana YESU KRISTO atukuzwe ndugu zangu wote. Karibu tujifunze Neno la MUNGU kisha kisha tuombe maombi ya ushindi.Siku
moja usiku katika ndoto, kulikuwa na vita sana, mambo yalikuwa magumu
lakini ghafla akaja mtu mwenye utukufu mwingi akisema ''Tumia Damu ya
YESU KRISTO''KAZI 12 ZA DAMU YA YESU KRISTO. Bwana YESU KRISTO atukuzwe ndugu yangu. Karibu tujifunze Peter Mabulahttp://www.blogger.com/profile/04761488348440672357noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4200372030027278824.post-5271700290716464132023-12-24T17:08:00.001+03:002023-12-24T17:08:03.534+03:00MASWALI NA MAJIBU(sehemu ya 1) Bwana YESU KRISTO atukuzwe ndugu zangu wote. Haya ni maswali ambayo baadhi ya marafiki zangu waliniuliza baada ya wao kusoma masomo yangu na mimi nikawajibu, inawezekana kuna kitu utajifunza hivyo fuatilia hadi Mwisho. 1. Swali la kwanza. Mtumishi Mabula umetumia andiko la Yeremia 33:8 "Nami nitawasafisha na uovu wao wote, ambao kwa huo wamenitenda dhambi; nami nitawasamehe Peter Mabulahttp://www.blogger.com/profile/04761488348440672357noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4200372030027278824.post-69440818418829372892023-12-24T11:42:00.004+03:002023-12-24T11:42:29.878+03:00USIOGOPE.
na Mwl Peter MabulaBwana YESU KRISTO atukuzwe ndugu zangu wote. Karibu tujifunze Neno la MUNGU wetu aliye hai.Moja ya vitu vibaya kwa Mteule wa KRISTO ni mtu huyo kuwa mwoga.Kuogopa ni dhambi kwa wateule wa KRISTO. Kanisa la watu waoga hawawezi kufanikiwa kihuduma kamwe. Neno "Kuogopa" likiondoka kwa wateule wa MUNGU basi wateule hao wa KRISTO watafanya mambo makubwa sana. Isaya 41:13 "Kwa Peter Mabulahttp://www.blogger.com/profile/04761488348440672357noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4200372030027278824.post-16017935571655195812023-12-24T11:37:00.005+03:002023-12-24T11:37:32.475+03:00MASWALI NA MAJIBU -3 Majibu na Mwl Peter Mabula. Haya ni sehemu ya maswali ambayo baadhi ya marafiki zangu waliniuliza kisha mimi nikawajibu. Jifunze kitu katika maswali haya na majibu. 1. Swali la kwanza. Mtumishi kwanini tunabatizwa kwa jina la MUNGU Baba, MWANA na la ROHO MTAKATIFU ?Majibu ya Mtumishi Mabula. Tunabatizwa kwa jina la MUNGU Baba, Mwana na Roho Mtakatifu kwa sababu Mwokozi wetu YESU KRISTOPeter Mabulahttp://www.blogger.com/profile/04761488348440672357noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4200372030027278824.post-77185012947278454202023-12-24T11:34:00.004+03:002023-12-24T11:34:54.851+03:00MAOMBI YA KUIFUNGA CHEMCHEMI YA MABAYA NA KUFUNGULIA CHEMCHEMI YA BARAKA.Na Mwl Peter MabulaBwana YESU KRISTO atukuzwe ndugu yangu.Karibu tujifunze Neno la MUNGU la maombi ya ushindi.✓✓Kuna chemchemi ya mema na kuna chemchemi ya mabaya.MUNGU ndiye hutupa chemchemi ya mema lakini nguvu za giza ndio hutoa chemchemi ya mabaya, nifuatilie hadi mwisho katika somo hili utanielewe vyema na utapata maarifa ya maombi ya ushindi kwako.✓✓Ziko chemchemi njema nyingi sana mfano Peter Mabulahttp://www.blogger.com/profile/04761488348440672357noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4200372030027278824.post-87698707682330550852023-12-24T11:31:00.005+03:002023-12-24T11:32:11.791+03:00NISALIMIENI WATU HAWA WAFUATAO.Bwana YESU KRISTO atukuzwe ndugu zangu wote.Karibu tujifunze Neno la MUNGU na ninayekuletea somo hili naitwa Mwl Peter Mabula.Ukisoma Warumi 16:3-16 utakutana na watu mbalimbali wa Kanisa wakisamiliwa na Mtumishi wa MUNGU ambaye ni Mtume Paulo aliyekuwa mbali na wao.Ni watu gani walisalimiwa katika salama hizo?Ni Hawa hapa.1. Nisalimieni watenda kazi katika KRISTO.Warumi 16:3,9 " Nisalimieni Peter Mabulahttp://www.blogger.com/profile/04761488348440672357noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4200372030027278824.post-64022868359280323592023-12-24T11:30:00.000+03:002023-12-24T11:30:02.591+03:00WOKOVU. ■Wokovu sio wa kundi Bali wokovu ni wa mtu mmoja binafsi.Waebrania 5:9 "naye(KRISTO) alipokwisha kukamilishwa, akawa sababu ya wokovu wa milele kwa watu wote wanaomtii;●Ukitaka wokovu uwe wa kundi basi baadhi ya wana kundi wakirudi nyuma basi na wewe utarudi nyuma.Lakini ukijitambua kwamba wokovu ni kwa ajili yako binafsi basi utaendelea na YESU KRISTO hata kama ulionao Peter Mabulahttp://www.blogger.com/profile/04761488348440672357noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4200372030027278824.post-48661177467025749192023-12-24T11:28:00.003+03:002023-12-24T11:28:36.957+03:00UTAFUTE UFALME WA MUNGU. Bwana YESU KRISTO Mwokozi wetu atukuzwe ndugu yangu.Jifunze kitu kupitia ujumbe wangu huu mfupi.Nafasi ya kwanza ya mwanadamu maishani mwake inatakiwa kuwa ni kuutafuta ufalme wa MUNGU ambao uko pekee katika Wokovu wa KRISTO YESU.Mathayo 6:33 "Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa."✓✓Ndugu, usikubali kutafuta kwanza mengine kisha ufalme wa MUNGU baadayePeter Mabulahttp://www.blogger.com/profile/04761488348440672357noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4200372030027278824.post-71087316970992220332023-12-24T10:45:00.001+03:002023-12-24T11:20:25.478+03:00OMBA MUNGU AKULINDE KILA UENDAKO. Mwl Peter Mabula akiwa BiharamuloBwana YESU KRISTO atukuzwe ndugu yangu.Kama kuna kitu muhimu mimi na wewe tunahitaji basi ni ulinzi wa MUNGU.Kama kuna kitu muhimu familia yako na watu wa nyumba yako wanahitaji basi ni ulinzi wa MUNGU.Ahadi ya MUNGU ni kwamba tukiomba lolote katika jina la YESU KRISTO atalifanya. Yohana 14:14 "Mkiniomba neno lo lote kwa jina langu, nitalifanya."Inawezekana Peter Mabulahttp://www.blogger.com/profile/04761488348440672357noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4200372030027278824.post-46508196054805365932023-12-24T10:41:00.003+03:002023-12-24T11:20:42.832+03:00ACHA KUWAPA UTUKUFU WANADAMU. Peter na Jemimah Mabula baada ya ibada, wakiwa na Watumishi wengine wa Bwana YESU KRISTOBwana YESU KRISTO Mwokozi atukuzwe sana Ndugu zangu wote.Jifunze kitu kupitia ujumbe wangu huu mfupi.✓✓Kwanini MUNGU akubariki kisha shukrani umpe mwingine na sio MUNGU?Ulilia sana kwenye maombi kwamba upate mchumba, MUNGU amekupa na shukrani zote unampa mchumba na sio MUNGU.YESU amekuponya baada ya Peter Mabulahttp://www.blogger.com/profile/04761488348440672357noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4200372030027278824.post-48985682080134908272023-12-24T10:35:00.005+03:002023-12-24T10:36:50.667+03:00ANA LAANA. By Peter MabulaBwana YESU KRISTO atukuzwe ndugu zangu wote.Karibu tujifunze Neno la MUNGU aliye hai.Yeremia 17:5 "BWANA asema hivi, AMELAAANIWA MTU YULE AMTEGEMEAYE MWANADAMU, AMFANYAYE MWANADAMU KUWA KINGA yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA."✓✓Ana laana Mwanadamu yule anayemtegemea mwanadamu mwenzake kama kinga yake.✓✓Ana laana Mwanadamu yule anayemsahau MUNGU Baba wa Mbinguni.✓✓Ana Peter Mabulahttp://www.blogger.com/profile/04761488348440672357noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4200372030027278824.post-43695697398871871942023-12-24T10:32:00.008+03:002023-12-24T10:32:55.703+03:00KANUNI TANO(5) ZA KUPOKEA KUTOKA KWA MUNGU. Mwl Peter Mabula.Bwana YESU KRISTO atukuzwe ndugu zangu wote.Karibuni sana tujifunze Neno la MUNGU alie hai milele.Naamini kila mtu anatamani kupokea baraka kutoka kwa MUNGU, ni sawa kabisa kutamani hivyo lakini pia ni muhimu kuzijua njia za MUNGU zinazoweza kukufanya upokee kutoka kwa MUNGU.Hapa chini niimekuandalia kanuni za Kibiblia za kukufanya upokee kutoka kwa MUNGU na kanuni hizo zote Peter Mabulahttp://www.blogger.com/profile/04761488348440672357noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4200372030027278824.post-70698995064919294932023-10-17T19:49:00.004+03:002023-12-24T11:21:12.815+03:00MTU MWENYE AKILI NI YUPI? Na Mwl Peter Mabula, Mtenda kazi katika Shamba la Bwana YESU KRISTO Mwokozi Bwana YESU KRISTO Mwokozi asifiwe!.Karibu tujifunze Neno la MUNGU.Leo tinajifunza kuhusu Mtu mwenye akili.1 Wakorintho 15:34 "Tumieni akili kama ipasavyo, wala msitende dhambi; kwa maana wengine hawamjui MUNGU. Ninanena hayo niwafedheheshe."Akili ni nini?✓✓Akili ni Uwezo wa Mtu kujua kitu fulani au jambo Peter Mabulahttp://www.blogger.com/profile/04761488348440672357noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4200372030027278824.post-76788132538068034592023-10-16T18:58:00.005+03:002023-12-24T11:21:37.560+03:00MUNGU HAJAKUSAHAU BADO Na Mwl Peter Mabula Bwana YESU KRISTO Mwokozi wetu atukuzwe sana rafiki yangu.Karibu tujifunze Neno la KRISTO YESU Mwokozi wetu.Katika safari ya watu wa MUNGU duniani wakati mwingine kuna kupitia vipindi mbalimbali.✓Kuna wakati wa kupitia vipindi vizuri na kuna wakati wa kupitia vipindi vigumu.✓Watu wengi wakati wa kupitia vipindi vizuri huwa hawaoni shida ila wakati wa kupitia vipindiPeter Mabulahttp://www.blogger.com/profile/04761488348440672357noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4200372030027278824.post-38111218864251149502023-10-14T08:25:00.004+03:002023-12-24T11:22:02.712+03:00MUNGU NDIYE ANISAIDIAYE MWANADAMU ATANITENDA NINI? Na Mwl Peter Mabula, Mtenda kazi katika Shamba la Bwana YESU KRISTO Bwana YESU KRISTO Mwokozi atukuzwe rafiki yangu.Karibu ujifunze kitu.Huu ulikuwa ufunuo wa sauti niliofunuliwa nikiwa safarini, Nikasikia Sauti ikisema "MUNGU ndiye anisaidiaye Mwanadamu atanitenda nini?" Hii ilikuwa ni baada ya kuwa katika vitisho vikubwa sana nilivyopitia katika ulimwengu wa mwili.Baada Peter Mabulahttp://www.blogger.com/profile/04761488348440672357noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4200372030027278824.post-47155494518420228752023-10-05T18:18:00.001+03:002023-12-24T11:22:35.920+03:00MAOMBI YA KUOMBA MUNGU ASEME NA TATIZO LINALOKUTESA ILI HILO TATIZO LIKUACHIE. Mwl Peter Mabula na Jemimah MabulaWatenda kazi katika Shamba la Bwana YESU KRISTO Mwokozi Bwana YESU KRISTO atukuzwe ndugu zangu wote.Karibuni sana tujifunze Neno la MUNGU kisha tuombe maombi ya ushindi mkuu kupitia jina la YESU KRISTO Mwokozi wetu aliye hai.Kama ulikuwa hujui ni kwamba yapo pia maombi na kumuambia MUNGU aseme na tatizo linalokutesa ili hilo tatizo likuachie, liondoke Peter Mabulahttp://www.blogger.com/profile/04761488348440672357noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4200372030027278824.post-15081915928649897862023-09-27T21:57:00.003+03:002023-12-24T11:22:59.421+03:00HAKIKISHA UNATAWALA KINYWA CHAKO. Na Mwl Peter Mabula, Mtenda kazi katika Shamba la Bwana YESU KRISTO Mwokozi Bwana YESU KRISTO atukuzwe ndugu yangu.Karibu tujifunze Neno la MUNGU.Mithali 10:19-20 '' Katika wingi wa maneno hapakosi kuwa na maovu; Bali yeye azuiaye midomo yake hufanya akili. Ulimi wa mwenye haki ni kama fedha teule; Moyo wa mtu mbaya haufai kitu. ''Maandiko haya hapo juu yanaonyesha, Kadri Mtu Peter Mabulahttp://www.blogger.com/profile/04761488348440672357noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4200372030027278824.post-13688985875517854172023-09-19T21:52:00.003+03:002023-12-24T11:23:22.855+03:00USIKAE KATIKA MADHABAHU YA BAALI. Na Mwl Peter Mabula, Mtenda kazi katika Shamba la Bwana YESU KRISTO Mwokozi Madhabahu ya Baali ni madhabahu ya shetani.■Madhabahu ya shetani ni kila madhabahu iliyo kinyume na KRISTO YESU Mwokozi.●Madhabahu ya Baali haitaki Wokovu wa KRISTO, Haimtaki YESU kama Mwokozi.Ndugu usikubali kukaa katika madhabahu ya Baali.Mtumishi wa MUNGU Eliya aliamua kuitengeneza Madhabahu ya MUNGU Peter Mabulahttp://www.blogger.com/profile/04761488348440672357noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4200372030027278824.post-14684250220595283732023-09-12T21:40:00.002+03:002023-12-24T11:23:48.631+03:00MAOMBI YA KUONDOA VIFUNGO VYA KIPEPO VYA AINA MBALIMBALI KWENYE MAISHA YAKO. Na Mwl Peter Mabula, Mtenda kazi katika Shamba la Bwana YESU KRISTO Mwokozi Bwana YESU KRISTO atukuzwe ndugu zangu wote. Karibuni tujifunze Neno la MUNGU kisha tuombe Maombi ya ushindi yanayotuacha tukiwa tumefunguliwa vifungo vya giza.Kifungo cha giza ni nini?●Kifungo cha giza ni adhabu ya kuzuiliwa kiroho katika eneo fulani baya la kiroho.Vifungo vya kipepo Peter Mabulahttp://www.blogger.com/profile/04761488348440672357noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4200372030027278824.post-32522644019411743582023-09-11T15:59:00.002+03:002023-12-24T11:24:04.895+03:00DHAMBI YA KUTOKUMWAMINI YESU KRISTO KAMA MWOKOZI INAWEZA KUMPELEKA MTU JEHANAMU. Na Mwl Peter Mabula, Mtenda kazi katika Shamba la Bwana YESU KRISTO Mwokozi wetu aliye hai Bwana YESU atukuzwe ndugu zangu.Karibu nikujuze maneno ya uzima.Dhambi ni mbaya sana.✓✓Ni dhambi pekee inayoweza kusababisha mwanadamu asiende uzima wa milele.✓✓Dhambi haina haya, ukiiruhusu inakuangamiza✓✓MUNGU anawapenda watu wanaoshinda dhambi kila iitwapo leo.✓✓Dhambi zote ni mbaya na hazifaiPeter Mabulahttp://www.blogger.com/profile/04761488348440672357noreply@blogger.com0