![]() |
Mchungaji Moses Maghembe. |
Ambapo kati ya shuhuda zilizosisimua mpaka sasa ni pamoja na shuhuda za watoto mmoja aliyeeleza jinsi alivyokuwa akitumika kwa njia za kishirikina, mwingine pia kueleza jinsi walivyokuwa wakitumiwa na mapepo hali iliyosababishwa kuitwa kwa waganga wa kienyeji na wachungaji ili washindane namna ya kuyatoa. Lakini kubwa zaidi iliyowaacha watu na mshangao ni pale mtoto mwenye miaka 12 kueleza alivyoshikwa na pepo la ulevi kupindukia ingawa hata kwao walikuwa hawajui ambapo watoto wote walipata uponyaji katika mkutano huo ambao bado unaendelea mpaka tarehe 29 mwezi huu.
![]() |
Picha mbalimbali kutoka katika mkutano huo. ©Filemon Rupia |
Bali wote waliompokea(YESU KRISTO) aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa MUNGU, ndio wale waliaminio jina lake; -Yohana 1:12