MAKAMU WA PILI WA RAISI WA SERIKALI YA ZANZIBAR MH. BALOZI SEIF ALI IDD KUSHIRIKI MAOMBEZI YA KUOMBEA AMANI NA UTULIVU TANZANIA KATIKA KANISA LA RESTORATION BIBLE CHURCH MDALUA KIBAHA
Mbali na maombezi pia kutakuwa na burudani kutoka kwa waimbaji mbalimbali kaka wanavyoonekana katika otangazo/ Uimbaji huu utasindikizwa na ucahangiaji wa ujenzi wa kanisa hilo. Unaombwa sana kuhudhuria mkutano huu mkubwa ambao haujawahi kutokea Kibaha.
Siku hiyo kutakuwa na maombezi kwa wanaokoka na wenye uhitaji. Njoo upokee muujiza wako sasa kupitia kwa watumishi wako watakaokuhudumia siku hiyo, kwa maana hawa wapo kwaajili ya kukuombea kwa Mungu ili uondokane na tatizo linakusumbua kwa muda mrefu.
![]() |
Comments