MAANA YA MAJINA HAYA AMBAYO YANAPATIKANA KWENYE BIBLIA.( sehemu ya 3)

Paulo = Mdogo

Penina = Ushanga

Penueli = Uso wa MUNGU

Petro = Jiwe. Mwamba

Pilato = Aliyejiandaa kwa mkuki

Potifa = Mkuu wa walinzi

Prisila = Priska mdogo

Priska = Mzee. Anayestahili heshima

Rabi = Bwana wangu

Raboni = Bwana wangu (mkuu kuzidi Rabi)

Rahabu = Paana

Raheli = Kondoo jike

Rebeka = Mtego. Anayejipendekeza

Reubeni = Yeye (BWANA) ameona unyonge wangu. Angalieni kijana

Rumi = Mji wa vilima saba

Ruthu = Urafiki

 Safira = Mzuri. Anayependeza

Samsoni = Mwenye nguvu. Mwenye mwanga

Samweli = Aliyesikilizwa na MUNGU.

 Vashti = (Mwanamke) mzuri

Sara = Anayetawala. Malkia

Sarai = Ukoo wa kifalme

 Sauli = Aliyeombwa

Sefania = YEHOVA anaficha. YEHOVA ameficha

Sefari = Anaunguza. Juu. Aliyeinuliwa

 Sethi = Aliyewekwa sehemu ya pili. Kulipizwa

Simeoni = Kusikiliza maombi

Simoni = Kusikiliza maombi

Sinai = Kichaka chenye miiba

 Sipora = Ndege (mdogo)

Stefana = Aliyevikwa taji.

Stefano = Taji

Sulemani = Mpole

 Tabitha = Swala

 Tera = Swala wa mlimani

 Theofilo = Rafiki ya MUNGU

Timayo = Aliyeheshimiwa. Mwenye heshima

Timotheo = Anayeheshimu MUNGU

Tiro = Mwamba

Tobia = YEHOVA ni mzuri

Tomaso = Pacha

Trofimo = Anayekuzwa

 Waebrania = Wanatoka pande zingine. Wavuka mpaka. Wageni


Kwa leo naishia hapo, sehemu ya mwisho itafuata siku chache zijazo. na kama hujasoma majina ya mwanzo ambayo tayari nimeshaweka hapa maisha ya ushindi  FUNGUA HAPA

Pia mengine yako FUNGUA NA HAPA  



MUNGU akubariki sana  ni mimi ndugu yako 

Peter Michael Mabula  

Maisha ya ushindi Ministry  0714252292

Comments