Picha za wanamuziki Wa Injili Ndani Ya Tamasha la Pasaka

 
Suala la muonekano Kwa wanamuziki wa injili ni suala ambalo limekuwa likijadiliwa sana kwenye vyombo vya habari. Zifuatazo ni picha za wanamuzikiwa Injili na watu maarufu walivyotupia kwenye Tamasha la Pasaka siku ya Jumapili.

 Mwanamuziki Wa Kimataifa Upendo Kilahiro akiwa kwenye muonekano maridhawa



Hivi ndivyo ambavyo Sura ya Jesca BM ilipambwa na Tabasamu
 Mwanamuziki Kutoka Zambia Ephrahim Sekeleti akiwa kwenye Muonekano wa Kiuanamuziki
Sarah K mama niseme akiwa kwenye Muonekano wa aina yake
 Full Mwonekano wa Sekeleti
La Presidaa Imma Mabisa wa GWT akiwa katika muonekano wa mpangilio
 Debro la Presidaaa and Produce' wa Calvary Band akiwa makini

Hawa Jamaa ni wa Ukweli Sana kama AKI na UKWA wanaonesha kuwa kucheza Show sio Kuvaa Hovyo nayo ni Kazi

 Baba Watatu John Lisu  yeye aliamua kutokelezea Kitamaduni zaidi
Huyu ni mwanamuziki anayefanya kazi ya Muziki wa Injili nchini Uingereza akiwa ndani ya Pozz la Suti.
 Mkanda wake unaalama ya |M" yaani Masanja. Huyu ndiye ni Masanja Mkandamizaji
 
 
Mess Jacob mwanamuziki makini akiwa Uwanjani
 Evelyne kushoto akiwa na mwenzake Pozz Maridhawa

 Mamaa na Kati ya Kimara Upendo Nkone akiwa na Vazi la Kiafrica Ndani ya Uwanja wa Taifa

Comments

Unknown said…
Je ni sawa kwa wanamuziki wa injili kupanga bei na kulipwa full kabla ya huduma
Unknown said…
MUZIKI WA INJILI UNALIPA????!!!