![]() |
PASTOR DONIS & NNUNU NKONE WA HUDUMA YA ALL NATIONS BREAKTHROUGH CHURCH NCHINI MAREKANI |
JAMANI INAUMA SAANA MCHUMBA AKIKUACHA KWA SABABU KAPATA MWINGINE. LAKINI, NI AFADHALI UMKOSE YULE ANAYETAKIWA KUKUOA AU KUOLEWA NAYE, UISHI MWENYEWE, KULIKO UISHIE KUOLEWA AU KUOA YULE AMBAYE SIYE. MANAKE YULE AMBAYE SIYE ATAKUPELEKA KABURINI KWA UGONJWA WA MOYO, HALAFU UNAISHIA MOTONI. UWE MWANGALIFU By Pastor Donis Nkone
![]() | ||
PASTOR DONIS NKONE KATIKA MAOMBEZI
|
Comments