 |
MUNGU NDIYE MSAADA NA KIMBILIO WAKATI WA SHIDA |
YEREMIA
30:17 {Maana nitakurudishia afya nami nitakuponya jeraha zako asema
BWANA, Kwa sababu wamekuita mwenye kutupwa wakisemani sayuni hakuna mtu
autakaye} ndugu tumia neno la MUNGU hili kuomba kupona ugonjwa wowote
unaokusumbua na mwambi
e MUNGU kwamba neno
lake ni ndiyo na hakika na yeye MUNGU analiangalia neno lake ili
alitimize hakika utapona na wewe utamtukuza MUNGU ila maombi yote yawe
katika jina la YESU na ukijua kuwa maombi ya mtu asiye haki MUNGU
hayajibu hivyo kutubu kwanza ni muhimu na kuazimia kuacha dhambi zote
itakusaidia sana kwani MUNGU anajua yote hata kama unaomba MUNGU
akuponye huku unajua kabisa nikipona nitarudia maovu yangu tambua ya
kuwa MUNGU anajua yote hata mawazo yetu hivyo kama unatubu tubu huku
ukijua kwamba MUNGU hazihakiwi hivyo ukitubu tubu huku umeamua kuacha
kabisa hiyo dhambi na MUNGU lazima akujibu. ubarikiwe sana { UBARIKIWE SANA HII NI KUTOKA MAISHA YA USHINDI PAGE YA FACEBOOK. BARIKI NA JIFUNZE NA MUNGU AKUBARIKI SANA NA PIA KAMA UNA HABARI ZA KIKRISTO, USHUHUDA WA KWELI NA MASOMA YA KUFUNDISHA ILI WATU WABARIKIWE NA KUJIFUNZA TUTUMIE KWA ANUANI HIZI mabula86@yahoo.com au mabula1986@gmail.com pia www.facebook.com/maishaYaUshindi. au mabula86@facebook.com}
Comments