UKIFA LEO UTAENDA WAPI?

UKIFA LEO UTAENDA WAPI? JIULIZE HARAFU TAFAKALI LAKINI NAKUSHAURI MPE YESU MAISHA YAKO KWANI YEYE NDIYE NJIA NA UKWELI NA UZIMA NA MTU HAENDE KWENYE UZIMA WA MILELE ILA KWA NJIA YA YEYE {YOHANA 14:6}
njia ni nyembamba iendayo uzimani na ni wachache tu wanaoiona, ndugu unaesoma ujumbe huu kama hujampatia maisha yako BWANA YESU kumbuka wakati wa kuokoka ni sasa, MUNGU akubariki ukizingatia kwani hakuna ajuaye yatakayokuwako kesho ni heri kuwa na uhakika wa uzima wa milele kwa kumpa BWANA YESU maisha yako. nakutakia tafakari njema na siku njema. {HII NI KUTOKA PAGE YETU YA FACEBOOK MUNGU AKUBARIKI SANA}
  • www.maishaushindi.blogspot.com

    YESU NDIYE NJIA YA UZIMA WA MILELE

    www.maishaushindi.blogspot.com

    YOHANA 14:6

    KUNA UZIMA WA MILELE PAMOJA NA YESU KRISTO NA KUNA MOTO WA MILELE PAMOJA NA SHEATANI HIVYO NI WAKATI WA KUMPA YESU MAISHA YETU ILI TUURITHI UZIMA WA MILELE KWANI NJE YA YESU KUNA SHETANI {YOHANA 10:10}

    WALA HAKUNA WOKOVU KATIKA MWINGINE AWAYE YOTE KWA MAANA HAKUNA JINA JINGINE WALILOPEWA WANADAMU LITUPASALO KUOKOLEWE KWALO ILA NI JINA LA YESU {MATENDO4:12]

    NJIA NI NYEMBAMBA IENDAYO UZIMANI NA WANAOIONA NI WACHACHE, NDUGU YESU NDIE NJIA HIYO

Comments