FACEBOOK NA MAONI JUU YA SWALI ''JE ULISOMA BIBLIA KWA MARA YA MWISHO LINI?''

kwa mara ya mwisho ulisoma lini hiki kitabu.
BIBILIA TAKATIFU. by www.maishaushindi.blogspot.com
  • Deo Mpelile Be 4 get asleep bro peter
  • Sele G. Shair Duu! Sikumbuki kabisa!
  • Diana Natasha Muhango Kwakweli kaka peter kama nikipitiwa siku moja tu,lkn time table lzm nipitie jp siku moja
  • Eddy Temu Dakika chache zilizo pita hapa hazizidi kumi na hazijapunhua tano
  • Renatha Kifaru kila siku jion
  • Godluck Samia Sawe leo saa 10 jioni then saa 5:30 hadi saa 6 usiku huu nina ratiba hiyooo
  • Ester Yenze du! kwakwel ckumbuki.
  • Godfrey Mfoy 1989 Ndy mara ya mwisho kukisoma
  • Peter Michael MUNGU awabariki sana wote mnaokumbuka kusoma BIBLIA na pia awabariki sana wale ambao hamkumbuki mlisoma lini kwa mara ya mwisho hivyo ni vema kuisoma ili ujue makusudi ya MUNGU juu ya maisha yako pia kama hujawahi kabisa kuisoma tambua kuwa MUNGU wa biblia ndio MUNGU hivyo soma neno lake kwa faida yako ya ulimwengu huu na ule ujao na yule ambaye haijui BIBLIA atambue kwamba ni neno hai la MUNGU aliye hai na Jina ''BIBLIA'' limeenea dunia nzima. Limetumiwa na karibu lugha zote zilizopata tafsiri za Biblia. Kwanza lilikua neno la kigriki cha kale au kiyunani. linaonekana katika mathayo 1:1 {kitabu cha YESU KRISTO.......} na Luka 4:17 {Akapewa chuo cha nabii isaya, akakifungua chuo akatafuta palipoandikwa} na penginenepo katika agano jipya la kiyunani. kwa lugha hiyo liliandikwa ''Biblos'', maana yake ''kitabu''au ''biblia'' maaana yake vitabu. ''BIBLIA'' ni jina jema kwa kuwa BIBLIA ni ''kitabu cha vitabu'' kwa maana ni kitabu bora kuliko vyote na tena ni ''kitabu chenye vitabu'' yaani ni kusanyiko la viyabu vingi vilivyoungamana kuwa kitabu kimoja. pengine BIBLIA huitwa ''neno la MUNGU''[Marko 7:13, waebrania 4:12], na pengine hitwa ''maandiko matakatifu'' ua ''maandiko'' [2Timotheo 3:15-16; 2Petro 3:16}BWANA YESU akubariki sana.

Comments