HERI ZA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA KUTOKA KWA MARAFIKI WA MAISHA YA USHINDI


BWANA YESU asifiwe. namshukuru MUNGU kwa uzima aliotupa hadi hii leo Dec 25 tunasherekea ukumbusho wa kuja kwa ukombozi duniani maana hakuna uzima popote ila ni kwa YESU KRISTO {Yohana 14:6}. Ndio maana dunia nzima ni shangwe na furaha kwa tukio ambalo limetokea miaka 2012 iliyopita ambapo siku YESU anazaliwa malaika ambao ni jeshi la mbinguni walishangilia na kumsifu sana MUNGU{Luka 2:8-14} na siku hiyo hiyo YESU mwanaume wa ajabu anazaliwa watu wenye heshima na watawala walimsujudia {Mathayo 2:11} hao walijua kuwa aliyezaliwa ni MFALME wa wafalme na BWANA wa mabwana. Pia YESU alizaliwa kwenye hori la ng'ombe ashilio la kwamba wanyama wapumzike maana hakuna tena sadaka ya kuteketezwa kama ilivyokuwa zamani  maana YESU ni dhabihu idumuyo milele ili watu wasamehe dhambi zao na kuurithi uzima wa milele bure kupitia yeye {Waebrania 9:12-15}.na tunasherekea christmas kwa kumwabudu MUNGU na kuonyesha upendo kwa wengine na kuhakisha kwamba  YESU anatenda jambo jipya mioyoni mwetu ili tuzidi kuishi katika neema yake maana kwa ajili yake na kwa neema yake alituhamisha kutoka kwa shetani na sasa tuko huru mbali na kuonewa na wachawi na hata nguvu zozote za giza. HIZI HAPA NI BAADHI TU YA SALAMA ZA KUTAKIANA HERI YA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA KUTOKA KWA WATUMISHI WA MUNGU PAMOJA NA MARAFIKI NA WASOMAJI WA BLOG HII.
PASTOR DONIS NKONE NA MKE WAKE NNUNU NKONE WA HUDUMA YA ANBC YA NCHINI MAREKANI
PASTOR DONIS NKONE KATIKA HUDUMA YA NENO LA MUNGU  KANISANI
Nawatakia heri za christmas 1. Baba yangu mzazi Bishop Enos A. Nkone 2. Rev. David Nkone 3. Rev. Dr. Huruma Nkone 4. Mama Mkwe wangu Mary Tom Kaisi 5. Baba na mama mkubwa Professor Malise Kaisi 6. Ukoo wote wa Nkone 7. Ukoo wote wa Kaisi 8. Wachungaji wote, ndugu na marafiki
9. Doris Kelakel, Delaya, Vespus na Debora Bavuma, Simon na Destina Keha, 10. Dafroza Mzoo, Dissa Mayage, Eglah Bavuma MUNGU awabariki sana
LIBERALLY MASOMBE WA DAR ES  SALAAM NAWATAKIA HERI YA MWAKA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA MARAFIKI ZANGU WOTE NA TUSHEREKEE KWA AMANI NA FURAHA HUKU TUKIMTUKUZA MUNGU KATIKA UTAKATIFU WOTE
LIBERALLY MASOMBE
LIBERALLY MASOMBE

Comments