HUU NI MWEZI WA KUWA MAKINI SANA KWA WATU WOTE


PASTOR DONIS NKONE AKIHUBIRI
JAMANI RAFIKI ZETU NA WATU WA MUNGU,
Hata kama una haraka, naomba saana usome UJUMBE HUU WA LEO:
ILIKUA MWEZI KAMA HUU WAKATI MFALME HERODE ALIPOPEWA TAARIFA KWAMBA KUNA MFALME WA WAYAHUDI AMEZALIWA NA JINA LAKE NI YESU. HUYU MFALME HERODE ALIKASIRIKA SAAANA MNO AKISAIDIWA NA WATU WA YERUSALEMU. LAKINI KWA KUA HAKUJUA MTOTO HUYO ANA UMRI GANI TANGU AZALIWE, BASI ALIAMURU WATOTO WA KIUME CHINI YA MIAKA 2 WACHINJWE WOOOTE (Matayo 2:16). SASA BASI, SOMO NI HILI: MWEZI HUU SHETANI HUA ANAPANDWA NA KICHAA KWA KUA ANAKUMBUKA KUZALIWA KWA MKOMBOZI WETU YESU KWA HIYO ANA-UA WENGI SANA - NA UKICHUNGUZA UTAONA VIFO VIINGI SAANA VINATOKEA. BE VERY CAREFUL KATIKA SAFARI ZAKO, SHUGHULI ZAKO, KUTEMBEA KWAKO USIKU. MWEZI HUU MIMI NA MKE WANGU NNUNU NKONE TUNAKUOMBEA MUNGU AKULINDE. TUNAVUNJA ROHO YA MAUTI KWAKO, FAMILI YAKO, NDUGU ZAKO NA RAFIKI ZAKO KATIKA JINA LA YESU KRISTO.
Tunafanya hivyo kwa sababu tunakupenda saaaaana na tunakuthamini. Lakini Yesu anakuthamini zaidi kuliko mtu yeyote. Usivunjike moyo dada-angu, kaka-angu, MUNGU ANAKUJALI. TUNAKUPENDA SAANA ! BY PASTOR DONIS NKONE
PASTOR DONIS NKONE KATIKA MAOMBEZI KANISANI

Comments