Skip to main content
Maana ya CHRISTMASS ni maneno mawili yaani
1. CHRIST(Mesiah au mpakwa mafuta au aliyetengwa kwa kazi maalum) na
neno la pili ni 2.MASS yaani kusanyiko (group of .....) Kwa hiyo maana
ya CHRISTMASS ni kusanyiko la KRISTO.ndugu uwe pia makini sana maana
wengine wameleta neno xmass wakiwa na maana ya hakuna CHRISTMAS au
hakuna kusanyiko la KRISTO na watakatifu wamelipokea hili na kuanza
kulitumia lakini walioleta hili neno xmass ni wapinga Kristo hivyo ndugu
heri tumia tu neno CHRISTMAS.MUNGU akubariki sana na nakutakia sikukuu
njema
Comments