wewe ni wa thamani sana mbele za MUNGU. na
MUNGU akupe kinga kwa kila hatari, baraka kwa kila jambo jema,jibu kwa
kila ombi,tabasamu kwa kila chozi,akujalie afya njema, furaha,amani na
upendo. akutimizie haja njema za maoyo wako. Neno hili likasimame na
wewe katika magumu unayopitia likapigane na maadui zako kuanzia walio
ndani hadi walio nje na kwa neno hili YESU akawafunge waliokufunga,wawe
mateka waliokufanya mateka,wateseke wao waliokutesa,waliokufungia uchumi
wafungwe wao {yeremia 30:16-20, kutoka 23:22, Isaya 4:11, zaburi35:1}
BWANA YESU akubariki sana.
Comments