MSIFUNI BWANA KWA MAANA FADHILI ZAKE NI ZA MILELE

WA KUABUDIWA NI JEHOVAH MUNGU TENA KATIKA ROHO NA KWELI
Hallelujah.
Msifuni Mungu katika patakatifu pake;
Msifuni katika anga la uweza wake.
Msifuni kwa matendo yake makuu;
Msifuni kwa kadiri ya wingi wa ukuu wake.
Msifuni kwa mvumo wa baragumu;
Msifuni kwa kinanda na kinubi;
Msifuni kwa matari na kucheza;
Msifuni kwa zeze na filimbi;
Msifuni kwa matoazi yaliayo;

Msifuni kwa matoazi yavumayo sana.
Kila mwenye pumzi amsifu Bwana.
Hallelujah.(Zab 150) BURUDIKA NA WIMBO WA CHRISTINA SHUSHO UNAIOTWA WAKUABUDIWA INAYOPATIKANA KATIKA ALBAMU YA UNIKUMBUKE YA MWIMBAJI HUYO NA MUNGU AKUBARIKI NA KUKULINDA NA NAKUTAKIA MAANDALIZI MEMA YA SIKUKUU YA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA


"Happy Sunday" na MUNGU akubariki sana

Comments