SABABU ZA MSHIRIKA KUSHINDWA KUENDELEA NA WOKOVU

Sababu za mshirika kushindwa kuendelea na WOKOVU


WATU WAKIWA KANISANI WAKATI WA IBADA
1. Kutokupata mafundisho sahihi ya neon la mungu
2. Kukosa viongozi wa kumtia moyo katika wokovu( kut 22: 1)
3. Marafiki wabaya huweza kumuangusha mtu(1 waf 11:1-4)

4. Mafanikio ya kimwili hufanya watu wengi wamsahau mungu(marko8:36)
5. Majaribu mbalimbali yanaweza kumrudisha mtu nyuma (luka8:13,ayubu1:6-22)
6. Kukosa kipindi cha maombi ya kujiombea au kusoma neon (luka22:46-54)
7. Kukosa kuhudhuria vipindi vya kanisani(ibada,mkesha) waebrania10:25
WATU WOTE TUNAMHITAJI BWANA YESU ILI TUPATE UZIMA WA MILELE
NDUGU HAWA WAKIWA KWENYE MAOMBI
WATU WAKIWA KANISANI WAKATI WA MAHUBIRI

Comments