INUKENI ENYI MALANGO

MACJAY ZION
ZAB.24:7-10."Inueni vichwa vyenu enyi malango,inukeni enyi malango ya milele,mfalme wa utukufu apate kuingia,ni nani huyo mfalme wa utukufu ?BWANA mwenye nguvu,hodari,BWANA hodari wa vita.,inueni vichwa vyenu,enyi malango,naam,viinueni enyi malango ya milele,mfalme wa utukufu apate kuingia,Ni nani huyu mfalme wa utukufu? Bwana wa majeshi ,yeye ndiye mfalme wa utukufu,"
*Tunapoongelea malango tunaangalia ulimwengu wa kiroho,malango hatuwezi kuyaona katika ulimwengu wa kimwili yaani kupitia macho ya ubinadamu,
Mlango ni mahali ambapo kitu,vitu,au watu huingilia na kutokea,kufunguka na kufungika..

KUNA AINA MBILI ZA MALANGO
@-MALANGO YA KUZIMU_Huu ni mlango wa kwendea kuzimuni,maisha kuendea kuzimu,familia,biashara,ajira,afya kuendea kuzimu,zipo njia za kwendea kuzimu ,nyumba ambaza zina njia za kwenda kuzimu {mithali 7:27 "Nyumba yake ni njia ya kwenda kuzimu,Hushuka mpaka vyumba vya mauti"
Malango ya kuzimu hufanya na kuhakikisha maisha ya mwanadamu yanateketea kwa kufuatia malango ya kuzimu,kuzimu ndipo umauti unapopatikana,malango ya kuzimu/jeriko ya kiroho ndiyo huwa inafuatilia kwakila jinsi maisha yako mwanadamu yasisonge mbele ,afya yako ,biashara yako,kazi na huduma zako zisisonge mbele kwakua kazi ya kuzimu ni KUMEZA MAISHA YA WATU WA MUNGU
Hapa hapa duniani kwenye ulimwengu wa kiroho ipo KUZIMU NA PARADISO,

Malango ya kuzimu yanajulikana kama Moyo wa dunia,au Njia ya kwenda kuzimu,
2wafalme 7:-1-2,WALINDA MLANGO WA BAYA KATIKA MAISHA YETU,"Elisha akasema lisikieni neno la Bwana,Bwana asema hivi kesho panapo saa hii,kipimo cha unga mzuri kitauzwa kwa shekeli,na vipimo viwili vya shayiri kwa shekeli,langoni pa samaria,Basi yule akida,ambaye mfalme alikua akitegemea mkono wake akamjibu yule mtu wa Mungu akasema,Tazama kama bwana angefanya madirisha ya mbinguni,je! Jambo hili lingewezejana? AKAMWAMBIA(ELISHA)ANGALIA,WEWE UTALIONA KWA MACHO YAKO LAKINI HUTAKULA" kwa jina la Yesu kristo wataona mafanikio yako lakini hawatakuangusha tena kwa damu ya Yesu aliye hai..
Aina za walinda mlango wa nchi,mtaa,kata,wilaya ni,1-Binadamu wasiopenda wewe ufanikiwe
2-Mapepo waliotumwa kufunga mtaa nakufanya mtaa kuwa na aina ya tabia kwa kila mtu,kama wazinzi unawakuta wengi,wezi,wasioolewa,na kila aina ya roho mchafu...Nazikemea kwa Jina la Yesu kristo aliye hai..
->Yeriko ulikua umefungwa kote hakuna mtu aliyeweza kuingia wala kutoka,
->Moyo wa morogoro hauruhusu mafanikio
->Moyo wa dar-es-salam,unaruhusu watu kuingia lakini hauruhusu mtu kutoka...
Malango yanayoruhusu shetani kutushinda anadamu:
1.Malango ya kidini
@lozari-mlango wa kidini ,vituo 14 vya kusujudu
@Tasbi-shanga 99{makabila 99 ya majini
@sanamu-maria,yesu akiwa bado mtoto,kumwabudu Maria wakati Yesu na maria hakuna muunganiko wowote,kuabudu vinyago,ng'ombe..
Shetani apendi watu wajue kweli,shetani yeye ni mungu wa dunia hii,kazi yaje ni kupofusha watu wasijue injili ya Yesu kristo,
"WOKOVU TUMEUPATA BADA YA YESU KUFUFUKA,ALIPOSHINDA MAUTI NA KUZIMU"

"NANYI MTAIJUA KWELI NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU" MUNGU AWABARIKI SANA

Comments