1. Kujua wewe ni mwenye dhambi na kumgeukia Mungu na kutubu.
2. Kumtegemea Mungu akusamehe.
3.Kumkaribisha Yesu Kristo atawale maisha yako kwa imani ili uwe kama anavyopenda.
WANAFUNZI WA YESU KRISTO WAKIWA KANISANI |
YESU NI NJIA PEKEE YA UZIMA WA MILELE
|
Comments