WAGANGA WA KIENYEJI HAWAPONYI BALI WANAONGEZEA MATATIZO KATIKA MAISHA NA FAMILIA ZA WATU,KAZI,MAHUSIANO,UCHUMBA NA NDOA...USIDANGANYIKE HATA SIKU MOJA KUMSIKILIZA NAKUTENDA ANAYOTAKA KWANI KAZI YA SHETANI SIKU ZOTE NI KUTAFUTA WAFUASI WAKE WAKUMTUMIKIA,UNADANGANYIKA NA MGANGA KWANINI YEYE ASIGANGE NDUGU ZAKE AU FAMILIA YAKE ILI ATAJIRIKE,KWANINI ASIGANGE ILI NDUGU ZAKE WAPATE KAZI,HATA SIKU MOJA HAKUNA KITU CHA ULIMWENGU WA GIZA KINACHOWEZA KUISHI KWA MUDA,KWANINI WEWE UISHI KWA MASHARTI HUKU UKIJUA YESU YUPO?? KWANINI UISHI MAISHA YA ADHABU,UTAJIRI WA MASHAKA?? KWANINI UPATE MASWAHIBA YA KUKOSA NDUGU KWA MAKAFARA YA AJABU?? Je,kama ndugu umewamaliza kwa makafara,hizo mali wewe ukifa atarithi nani?? Usidanganyike mali za kuzimu hazidumu ukikosea masharti zinapotea ,unafilisika na wewe unakufa kwa moto usioisha makati,hebu tafakari Duniani wote tunapita kwanini utafute ufahari wa muda mfupi,ufahari wa kupita,ufahari wakiuanadamu,na unakosa ufahari wa maisha marefu katika kristo???
TAFAKARI.:CHUKUA HATUA YESU ANAWEZA YOTE.MUNGU akubariki sana
Comments