Skip to main content
MKRISTO HALISI
- Toba; Mkristo halisi ni lazima awe amemkiri Yesu kama
Bwana na Mwokozi wa maisha yake. ( Matendo 2:38)
- Mkisto
lazima awe amebatizwa kwa maji mengi ( Mathayo 28:18-20)
- Awe
amejazwa na Roho Mtakatifu na ishara ya kunena kwa lugha ( Marko
16:15,Matendo 19:6)
- Awe
amelelewa na kupata mafundisho ktk kanisa la imani ya Kristo (
Yohana 8:32, 1Petr 2:2)
- Awe
tayari kuhubiri injili ya kweli na shahidi mwaminifu wa Kristo ( Mathayo
28:18-20; Marko 16;15-18
- Mkristo
wa kweli ni yule anayeshiriki meza ya Bwana mara kwa mara (Mathayo
26:26-29; 1Wakornth 11:23-26)
- Awe
mwenye ushirika na Mungu wa maombi wakati wote wa maisha yake ( Matendo
2:42, 6;4)
- Awe
mfano kwa jamii inayomzunguka ktk usafi, usemi, mwenendo na imani (
1Timith 4;2)
- Awe anayeishi daima ktk imani ( Waebrania
11:16)

Comments