Posted by
Peter Mabula
- Get link
- X
- Other Apps

DAVIS DAVID
Ilikuwa mwaka 2008 mwezi wa pili tarehe 14 hivi kama sijakosea nikuwa
form 1 katika mkoa wa Iringa shule ya sekondary Mtwango shuleni hapo
kulikuwa na shida ya maji kwa hiyo tulitakiwa kwenda kwenye Bwawa
kilometa 2 kutoka shuleni kupata maji yetu ya kuoga pamoja na kufua
nguo na n.k ndipo siku hiyo nilienda mimi na rafiki zangu kwenda kufua
baadaye wenzangu baadhi wakaanza kuogelea kwenye mfereji wa maji yanayotoka mtoni basi na mimi nikawa natamani kuogelea lakini
nilikuwa na sita sita kwa sababu nilikuwa sijui kuogelea sijui kitu gani
kikanishawishi nikaamua kuingia ndani ya maji kwa sababu nilijivunia
urefu wangu baada ya kuingia na kukaa kwa muda fulani nikataka kutoka
kumbuka yale maji yalikuwa yatatembea kutoka kwenye Bwawa sasa wakati
nageuka nikakutana na maji yanayotembea kwenda kule nilikotoka
nikashindwa kuyahimili nikazama na kuanza kunywa vikombe kadhaa maji ya
kaanza kunizamisha na kunipeleka kwenye
vichaka kama mfeleji wa maji hayo kutoka bwawani kumbuka yote yanatokea
mimi sijui kuogelea nikaanza mara nikanyoosha mkono wangu juu katika
harakati za kujiokoa ndo hapo mmoja wa marafiki zangu anaitwa Joseph
alikuwa karibu na huo mfereji wa maji akanidaka mkono na kunivuta ndo
ikawa pona yangu la sivyo ningekuwa marehemu na mwili wangu ungezama
kwenye maji nilijuta kwa kujivunia urefu wangu kwanzia siku hiyo
sikukanyaga tena kule Bwawani ni kwa NEEMA YA MUNGU TU AMENIOKOA.
Mwisho..................

USHAURI:
Wapendwa nawaomba mwashauri wadogo zenu au watoto wenu kuwa makini na
sehemu za mito,mabwawa,maziwa na hata bahari kwani vishawishi toka kwa
marafiki wanaowazunguka watawafanya waogelee hata kama hawajui kuogelea
na ni vyema mkajua maeneo hayo ya maji ni makazi ya yule muovu shetani
na jeshi lake MBARIKIWE. By Davis David

![]() |
DAVIS DAVID |
Ilikuwa mwaka 2008 mwezi wa pili tarehe 14 hivi kama sijakosea nikuwa form 1 katika mkoa wa Iringa shule ya sekondary Mtwango shuleni hapo kulikuwa na shida ya maji kwa hiyo tulitakiwa kwenda kwenye Bwawa kilometa 2 kutoka shuleni kupata maji yetu ya kuoga pamoja na kufua nguo na n.k ndipo siku hiyo nilienda mimi na rafiki zangu kwenda kufua baadaye wenzangu baadhi wakaanza kuogelea kwenye mfereji wa maji yanayotoka mtoni basi na mimi nikawa natamani kuogelea lakini nilikuwa na sita sita kwa sababu nilikuwa sijui kuogelea sijui kitu gani kikanishawishi nikaamua kuingia ndani ya maji kwa sababu nilijivunia urefu wangu baada ya kuingia na kukaa kwa muda fulani nikataka kutoka kumbuka yale maji yalikuwa yatatembea kutoka kwenye Bwawa sasa wakati nageuka nikakutana na maji yanayotembea kwenda kule nilikotoka nikashindwa kuyahimili nikazama na kuanza kunywa vikombe kadhaa maji ya kaanza kunizamisha na kunipeleka kwenye vichaka kama mfeleji wa maji hayo kutoka bwawani kumbuka yote yanatokea mimi sijui kuogelea nikaanza mara nikanyoosha mkono wangu juu katika harakati za kujiokoa ndo hapo mmoja wa marafiki zangu anaitwa Joseph alikuwa karibu na huo mfereji wa maji akanidaka mkono na kunivuta ndo ikawa pona yangu la sivyo ningekuwa marehemu na mwili wangu ungezama kwenye maji nilijuta kwa kujivunia urefu wangu kwanzia siku hiyo sikukanyaga tena kule Bwawani ni kwa NEEMA YA MUNGU TU AMENIOKOA.
Mwisho..................
USHAURI:
Wapendwa nawaomba mwashauri wadogo zenu au watoto wenu kuwa makini na sehemu za mito,mabwawa,maziwa na hata bahari kwani vishawishi toka kwa marafiki wanaowazunguka watawafanya waogelee hata kama hawajui kuogelea na ni vyema mkajua maeneo hayo ya maji ni makazi ya yule muovu shetani na jeshi lake MBARIKIWE. By Davis David
Comments