PAPA BENEDICT XVI ATANGAZA KUJIUZULI FEB 28 MWAKA HUU


Papa Benedict ametangaza atajiuzulu kutoka uwongozi wa Kanisa la Katholiki hapo Februari 28, kutokana na hali yake ya afya. .Habari kutoka  Vatican zinasema papa Benedict XVI atajiuzulu apapa Feb 28 mwaka huu kutokana na hali yake ya afya pamoja na umri. papa Benedict XVI ambaye April mwaka huu atafikisha mika 86 ametangaza kujiuzulu kwake kwa makardinali huko Vatican. Hii itakua mara ya pili kwa papa kujiuzuli na papa wa kwanza kujiuzulu alikua ni papa GregoryX11 mwaka 1415.
PAPA AKIWA NA RAISI OBAMA WA MAREKANI NA KULIA NI MICHELE OBAMA

Comments