UKIOKOKA MAMLAKA YA YESU KRISTO INAINGIA NDANI YAKO


PRINCE MACJAY ZION
TAZAMA MAMLAKA ALIYOWEKA KRISTO NDANI YA MAISHA YETU,KUPITIA WEWE KUNA UPONYAJI,UZIMA,AFYA ,UPENDO NA FURAHA,MWACHENI MUNGU AITWE MUNGU ,WEWE U MSHINDI NDANI YA KRISTO,MUNGU AKUBARIKI KWANI YEYE NDIYE MWEZA WA MAMBO YOTE...
YEREMIA 51:20-24 "wewe u rungu langu na silaha zangu za vita,kwa wewe nitawavunja vunja mataifa na kwa wewe nitaharibu falme,na kwa wewe nitamvunja vunja farasi,na yeye ampandaye,na kwa wewe nitalivunja vunja gari la vita na yeye achukuliwaye ndani yake,na kwa wewe nitawavunja vunja mwanamume na mwanamke na kwa wewe nitavunja vunja mzee na mtoto na kwa wewe nitavunja vunja kijana mwanaumume na kijana mwanamke,na kwa wewe nitavunja vunja mchungaji na kundi lake,na kwa wewe ntamvunja vunja mkulima na jozi yake ya ng'ombe na kwa wewe nitavunja vunja maakida...nami nitamlipa Babeli na wote wakaao ndani ya ukaldayo,mabaya yao yote waliyoyatenda katika sayuni mbele ya macho yenu asema Bwana". MUNGU awabariki sana ni mimi PRINCE MACJAY ZION

Comments