![]() | ||
BENEVORANCE STUDIO YA LUCAS M MAGARE |
![]() |
BENEVORANCE STUDIO WAKIWA KAZINI |
NAPENDA KUMSHUKURU MUNGU KWA KUNIFIKISHA HATUA HII KWANI KWA MAWAZO NA FIKRA ZANGU NISINGEWEZA KUFIKA HAPA NILIPO,SIFA NA UTUKUFU VIMRUDIE YEYE;NIMETOKA KWENYE FAMILIA YENYE HALI YA CHINI JAPOKUWA SIO SANA,NIMESOMA KWA SHIDA KUANZIA SHULE YA MSINGI MPAKA YA SEKONDARI PIA HATA CHUO,SIKUFANIKIWA KUMALIZA CHUO VIZURI NIKAWA NIMEAJILIWA KWENYE KAMPUNI FULANI ILIYOKO MWANZA INAYOJIHUSISHA NA MAMBO YA AUDIO PRODUCTIONS,NILIFANYA KAZI PALE KWA MUDA USIOPUNGUA MWAKA MMOJA NA NUSU,NILIFANYA KAZI KWENYE MAZINGIRA MAGUMU SANA HUKU NIKIJIPANGA TARATIBU KWA KUFUATA MASHAURI YA MKE WANGU PIA RAFIKI ZANGU WANAOMJUA MUNGU PIA KUNA WAKATI NILIKUWA NAUMWA SANA UGOJWA WA MOYO NA KUKATA TAMAA LAKINI MUNGU NI MWAMINIFU SANA MAANA ALINIPONYA , BAADA YA HAPO NIKAWA NIMEFANIKIWA KUFUNGUA STUDIO YANGU MWENYEWE NIKIWA NIMESHIRIKIANA NA RAFIKI YANGU BARAKA MUTONGORE YEYE NI MWALIMU WA KWAYA ZA R.C. PIA NIMTUNZI WA NYIMBO PIA MAMA YANGU ASSUMPTA JOHN, ILIKUWA TAREHE 7-2-2013,MPAKA SASA TUNAENDELEA VIZURI NA OFISI YETU KAMA MUNGU ANAVYOTUONGOZA;TUNA MWEZI MMOJA TU ILA TUMEONA MAFANIKIO YA KUWA NA OFISI YETU,(KUJIAJILI).MUNGU AWABARIKI WOTE WANAOJISHUGHULISHA KWA BIDII KUTANGAZA UFALME WAKE HAPA ULIMWENGUNI.KARIBUNI SANA.
ISTUDIO INAITWA
BENEVORANCE NENO LA KIRATINI AMBALO MAANA YAKE NI GOOD AND KIND (KIZURI
NA CHA PEKEE )IKO MKUYUNI MWANZA.TUNAREKODI AUDIO PAMOJA NA VIDEO ZA
KWAYA, NYIMBO ZA WATU BINAFSI,SHEREHE NA MATUKIO MBALIMBALI NZURI ZA
KIWANGO CHA KIMATAIFA,TUNAHARIRI PICHA ZILIZOPIGWA NA WATU TOFAUTI NA
SISI(EDITING),TUNAHARIRI SAUTI ZILIZOREKODIWA NJE YA STUDIO
YETU,TUNAKUZA PICHA,TUNATENGENEZA MAKAVA YA CD NA JUU YA CD,TUNAZALISHA
CD,PAMOJA NA DVD PIA TUNAFUNDISHA KUREKODI NA KUHARIRI SAUTI(AUDIO) NA
PICHA (VIDEO).VYOTE HIVI TUNAFANA KWA BEI NZURI NA YA KAWAIDA,
NB:TUNAFANYA KAZI NZURI NA KWA MUDA MUAFAKA.
KWA MAWASILIANOKARIBUNI WOOTE NA NA MUNGU AWABARIKI
Comments