YESU KRISTO ANAPENDWA NA KILA MTU

andika amen kama unampenda YESU Photo: Bila YESU hakuna uzima wa milele.
watu wengi sana wanampenda YESU KRISTO kwa sababu ya matendo yake makuu kwao na pia kwa sababu hakuna uzima wa milele kwingine na pia yeye mwenyewe alisema ukimkiri mbele za watu na yeye atakukiri wewe mbele ya BABA yake wa mbinguni. hawa ni baadhi tu ya watu walioombwa kuandika ''Amen'' kama wanampenda YESU na katika wote walioombwa hakuna hata mmoja aliyesema hamhitaji YESU. na hii imetoka katika page yetu ya www.facebook.com/maishaYaUshindi.

Comments