Kuabudu siku yeyote ni sahihi kabisa ila jambo la kujiuliza ni kwamba nani anayeabudiwa katika ibada hizo?


Kuabudu siku yeyote ni sahihi kabisa ila jambo la kujiuliza ni kwamba nani anayeabudiwa katika ibada hizo?
MUNGU wa kweli anasema hivi
''Usiwe na miungu mingine ila mimi.Usijifanyie sanamu ya kuchonga, mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, au kilicho chini duniani, au kilicho majini chini ya nchi.Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi BWANA, MUNGU wako, ni MUNGU mwenye wivu, nawapatiliza wana uovu wa baba zao; hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao, nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.'' -Kumbukumbu la torati 5:7-10.

Ndugu mpenda JEHOVAH ndiye MUNGU wetu na ndiye MUNGU anayestahili kuabudiwa na wanadamu wote. na katika Zaburi 82:18 Biblia inasema ''Wajue ya kuwa Wewe, uitwaye jina lako YEHOVA, Ndiwe peke yako Uliye juu, juu ya nchi yote.
MUNGU akubariki sana na amani ya KRISTO YESU BWANA wetu itawale daima na kama kujaokoka muda wa kufanya hivyo ni sasa na siyo baadae maana hatujui hiyo baadae itakuja na vitu gani kwetu .
MUNGU akubariki sana

Comments