UMUHIMU WA ROHO MTAKATIFU KWA WANADAMU

Mwinjst,Gerald Robert..
Roho Mtakatifu ndiye atuongozaye katika kufikiri na kuchukua maamuzi yaliyo sahihi, tena kwa wakati ulio sahihi.
Ili uweze kuyashinda majaribu yanapokuja kwako, ni lazima uwe na huyu Roho Mtakatifu ndani yako,
kumbuka, Yupo roho wa uasi, yeye huyu hutuongoza katika kuwaza mawazo mabaya, na pia kuchukua maamuzi mabaya,
Siku ya Pentekoste Wanafunzi walimpokea Roho Mtakatifu, ili awaongoze katika kuifanya kazi ya Mungu.
JE, WEWE UMEMPOKEA HUYO ROHO MTAKATIFU?
JE, UNAONGOZWA ROHO GANI NDANI YAKO?
Tembelea Kanisa linaloabudu katika Roho na kweli iliweze kupokea Roho Mtakatifu, naye atakaa pamoja nawe na kukuongo kuijua kweli yote ya Mungu.Mwinjst,Gerald Robert..

burudika na wimbo huu unaoitwa NJOO ROHO MTAKATIFU kutoka kwa Fanuel Sedekia

Comments