"JE! KWELI ISRAELI NI MALAIKA MTOA ROHO?"

"JE! KWELI ISRAELI NI MALAIKA MTOA ROHO?"

'Kuna Proganda zimeenezwa, zikaenea, na zinazidi kuenea kuwa, Kuna Malaika aliyepewa Jukumu na Mungu la kuchomoa/kutoa roho za Wanadamu'

Propaganda hizi zimewaathiri mpaka baadhi Wakristo, nao wamekuwa wakisema, kumwambia Mtu aliyenusurika kupoteza Maisha kuwa, "Bahati yako Israeli yuko mbali, la sivyo tungekusahau"

Je! Ni kweli Kuna Malaika aitwae Israeli?

Hakuna Malaika anaeyitwa Israeli, kwani Israeli ni Jina lililoanza kusikika, baada ya Ibrahimu kufariki, na Kumwacha mwanae Isaka, akiwa na Mtoto (Mjukuu) anayeitwa Yakobo, ambaye ndiye aliyepewa Jina la Israeli baada ya kushindana na Malaika, akihitaji apewe Baraka, ndipo akapewa Baraka ya kuitwa Israeli.

Mwanzo 32:24-28
24 Yakobo akakaa peke yake; na mtu mmoja akashindana naye mweleka hata alfajiri.
25 Naye alipoona ya kuwa hamshindi, alimgusa panapo uvungu wa paja lake; ukateguka uvungu wa paja la Yakobo alipokuwa akishindana naye,
26 Akasema, Niache, niende maana kunapambazuka. Akasema, sikuachi, usiponibariki.
27 Akamwuliza Jina lako n'nani? Akasema, Yakobo.
28 Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila Israeli, maana umeshindana na Mungu na Wanadamu nawe umeshinda.

'HAPA NDIPO JINA YA ISRAELI LIKAANZA KUSIKIKA'

Na huyo aliyeshindana na Yakobo, si kwamba alikuwa mwenyewe, la bali alikuwa Malaika wa Mungu. (Hosea 12:2-4)

Jukumu la kutoa roho analo Mungu mwenyewe, wala si la Israeli.

Fahamu sasa ya kuwa Mimi, naam, Mimi Ndiye,
Wala hapana Mungu mwingine ila Mimi;
Naua mimi, nauhisha mimi,
Nimejeruhi, tena naponya;
wala hapana awezaye kuokoa katika Mkono wangu. (Kumbukumbu la torati 32:39)

Muhubiri 12:7 Nayo mavumbi kuirudia nchi kama yalivyokuwa,
Nayo roho humrudia Mungu aliyetoa.

"KWA HIVYO USIDANGANYIKE, HAKUNA MALAIKA AITWAYE ISRAELI MTOA ROHO"

Propaganda hizo zimeenezwa na Waislamu, kwa sababu ya chuki zao kwa Israeli, na namna Taifa, la Israeli linavyopambana na kuwaua,  Wapalestina ambao ni ndugu za Waislamu, katika vita, vinavyoendelea, wakaamua kumpachika/ Kumuita Israeli Malaika Mtoa roho.'Kuna Proganda zimeenezwa, zikaenea, na zinazidi kuenea kuwa, Kuna Malaika aliyepewa Jukumu na Mungu la kuchomoa/kutoa roho za Wanadamu'
Propaganda hizi zimewaathiri mpaka baadhi Wakristo, nao wamekuwa wakisema, kumwambia Mtu aliyenusurika kupoteza Maisha kuwa, "Bahati yako Israeli yuko mbali, la sivyo tungekusahau"
Je! Ni kweli Kuna Malaika aitwae Israeli?
Hakuna Malaika anaeyitwa Israeli, kwani Israeli ni Jina lililoanza kusikika, baada ya Ibrahimu kufariki, na Kumwacha mwanae Isaka, akiwa na Mtoto (Mjukuu) anayeitwa Yakobo, ambaye ndiye aliyepewa Jina la Israeli baada ya kushindana na Malaika, akihitaji apewe Baraka, ndipo akapewa Baraka ya kuitwa Israeli.
Mwanzo 32:24-28-Yakobo akakaa peke yake; na mtu mmoja akashindana naye mweleka hata alfajiri.Naye alipoona ya kuwa hamshindi, alimgusa panapo uvungu wa paja lake; ukateguka uvungu wa paja la Yakobo alipokuwa akishindana naye,Akasema, Niache, niende maana kunapambazuka. Akasema, sikuachi, usiponibariki.Akamwuliza Jina lako n'nani? Akasema, Yakobo.Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila Israeli, maana umeshindana na Mungu na Wanadamu nawe umeshinda.

'HAPA NDIPO JINA YA ISRAELI LIKAANZA KUSIKIKA'
Na huyo aliyeshindana na Yakobo, si kwamba alikuwa mwenyewe, la bali alikuwa Malaika wa Mungu. (Hosea 12:2-4)
Jukumu la kutoa roho analo Mungu mwenyewe, wala si la Israeli.
Fahamu sasa ya kuwa Mimi, naam, Mimi Ndiye,
Wala hapana Mungu mwingine ila Mimi;
Naua mimi, nauhisha mimi,
Nimejeruhi, tena naponya;
wala hapana awezaye kuokoa katika Mkono wangu. (Kumbukumbu la torati 32:39)

Muhubiri 12:7 Nayo mavumbi kuirudia nchi kama yalivyokuwa,
Nayo roho humrudia Mungu aliyetoa.

"KWA HIVYO USIDANGANYIKE, HAKUNA MALAIKA AITWAYE ISRAELI MTOA ROHO"
Propaganda hizo zimeenezwa na baadhi ya dini wasio wakristo, kwa sababu ya chuki zao kwa Israeli, na namna Taifa, la Israeli linavyopambana dhidi yao,  katika vita, vinavyoendelea, wakaamua kumpachika/ Kumuita Israeli Malaika Mtoa roho.
By Mwl Abel Suleiman Shiriwa

Comments