KUJUA KUNALETA USHINDI





Moja ya siri kubwa ya mafanikio kwa mtu yoyote yule katika maisha yake ni kuwa na siri ya kujua jambo fulani,kumjua adui yako na mbinu zake katika maisha yako,kutakufanya uishi MAISHA YA USHINDI naya tofauti katika kila eneo la maisha yako.Hakuna vita vitakavyojitokeza katika maisha yako,usiinuke na ushindi.
Utashinda hali na mazingira yoyote utakayokutana nayo,utashinda katika masomo,biashara,afya,ndoa,uchumba na katika huduma uliyokuanayo,utashinda katika mambo ya kiroho na katika hali ya maisha katika siri kubwa ya ushindi huu wa kufahamu na kutambua..
Rumi 8:37"Lakini katika mambo hayo yote tunashinda,na zaidi ya kushinda,kwa yeye aliyetupenda"

Siri kubwa ya kuishi Maisha ya Ushindi ni kumjua adui yako na mbinu zake<shetani>..

Kumjua Mungu na Ukuu wake ndiyo silaha tosha yakumshinda shetani nakumharibu,Watu wanaomjua Mungu wao
MUNGU akubariki sana 

Ni mimi ndugu yako PETER MICHAEL MABULA
              Maisha ya ushindi

Comments