TAMASHA KUBWA LA UIMBAJI

TAMASHA LA UIMBAJI UWANJA WA SOKOINE MKOANI MBEYA.


Tamasha kubwa la uimbaji litafanyika mkoani mbeya katika uwanja wa Sokoine tarehe 11 August 2013 kuanzia saa 8:00 mchana na kuendelea.
Waimbaji katika tamasha hilo ni pamoja na Masanja Mkandamizaji,Martha Baraka,Happy Kamili,Ambwene Mwasongwe, Ambele Chapanyota, Joseph Nyuki, Amani Mwasote na Edison Mwasabite.

HII SIO YA KUKOSA KWA WAKAZI WA MBEYA NA MIKOA YA JIRANI.
Ambwene Mwasongwe
Joseph Nyuki

Comments