Alivamiwa na Majmbazi akiwa Shambani kwake

Photo: SHUHUDA SHUHUDA SHUHUDA.
(Alivamiwa na Majmbazi akiwa Shambani kwake Bunju- Dar es Salaam, Wakampiga, wakataka Kumuua, wakampora Hela, Simu, Funguo za Gari,... Lakini Alitoka mbele yao Salama salmini"

Mwana wa MUNGU huyu DR. Bankobeza wa Eneo la Efatha Mwenge, Dar es Salaam Yerusalemu, aliamua kutoka mbele ya Wana wa MUNGU na kuja kushuhudia Matendo Makuu Ambayo MUNGU wetu na BABA YETU MKUU wa Efatha Alimtendea,... anaanza kwa kusimulia kuwa, siku kazaa zilizopita alikuwa amekwenda Shambani kwake Bunju Dar es Salaam na ndugu zake wanne, wakati walipokuwa pale shambani kundi la Majambazi wakiwa na pikipiki na vyuma wakawavamia, watatu kati ya wale watu waliokuwa nae wakafanikiwa Kukimbia na kutoroka katika Tukio hilo. Yeye na kijana mmoja aliyekuwa amekwenda naye hawakufanikiwa kukimbia. Wale Majambazi wakaanza kuwapiga,... Mmoja wa yule jambazi akainua Chuma na kusema kuwa 'Tummalize huyu'; lakini huyu Mwana wa MUNGU hapohapo akakumbuka Kumgeukia MUNGU, Akakumbuka NENO la MUNGU linalosema "Hakuna Silaya itakayoinuka kwangu", Wale Majambazi wakasema Hapana Tusimpige, wakaweka Chuma chini, Mwana wa MUNGU huyu Akaendelea kuomba MUNGU. Wale Majambazi wakawanyang'anya Wallet ambazo zilikuwa na hela ndani na Funguo za Gari na Simu, baada ya hapo wakamchukua na kumpeleka kwenye gari na kumuweka kiti cha nyuma ya gari, na wale majambazi wakasema tumpeleke Officini, Yeye akazidi kumuomba MUNGU. Wale majambazi wakaingia kwenye gari na kuendesha mpaka kwenye hilo eneo wanapoita Offici yao, baada ya kufika hapo alikuta kuna kundi la watu "Majambazi" kama 20. Baada ya kufika yule kiongozi wa kundi hilo akaanza kumuuliza Mwana wa MUNGU huyu, kuwa lile Eneo umelipataje? (Mwana wa MUNGU huyueneo lake ni kubwa, lina viwanja 30), wale majambazi wakaanza kumuhoji kuwa amelipataje hilo Eneo, Yeye azidi kuomba MUNGU, akatamka lile NENO la MUNGU "ROHO wa BWANA YU JUU YANGU", Mwana wa MUNGU huyu akawa anawajibu yale Maswali aliyokuwa anaulizwa,... Yule Kiongozi baadae akamwambia Dr.Bankobeza, kuwa huku tuna matatizo, wananchi wengi wamebomolewa nyumba zao, sasa tumekuona huna shida, ila Tunataka Ujiunge na SISI. Yule kiongozi wa majambazi akawaamulu wale waliomleta pale officini kuwa wamrudishie vitu vyake walivyochukua, wale majambazi wakamrudishia ila Hela wakasema hawatarudisha na Simu wakasema hawakuchukua ingawa walichukua. Baada ya kumaliza hayo wale majambazi wakamuelelkeza Dr.Bankobeza na yule kijana kuwa wawashe gari lao na kuondoka lakini wapitie njia nyingine siyo ile waliyoijia. Mwana wa MUNGU huyu akaingia kwenye gari lake na kuondoka na yule kijana ingawa miguu ilikuwa inamuuma kutokana na yale maumivu ya kupigwa, baada ya kama Nusu kilomita akasikia Mirindimo ya Sauti ya Risasi zinalia, kumbe Polisi walivamia ile Offisi ya Majambazi, wale watu watatu waliokuwa wamefanikiwa kukimbia walikuwa wameenda kutoa taarifa kituo cha Polisi Wazo, Polisi wakawakamata majambazi 8 katika ile Offisi yao. Mwana wa MUNGU huyu Dr. Bankobeza akakumbuka Maneno ya Madhabahuni ya Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, kwamba "KWAMBA MAADUI WAKO WATAAIBISHWA MBELE ZA MACHO YAKO", ... Haleluya MUNGU WETU NI MZURI,..Kweli Wale Majambazi waliompiga na kumnyanga Hela, Simu Wote walikamatwa na mbele yake akawaona wakipigwa na Kujikojolea na Kutoa haja kubwa hapohapo,...Kweli "MAADUI WAKO WATAAIBISHWA MBELE ZA MACHO YAKO",Adui zake Waliabishwa mbele za Macho yake NENO LILITIMIA, ATUKUZWE MUNGU WETU MKUU na BABA YETU, Haleluya.

Baada ya kutoka Polisi tu akasikia ROHO MTAKATIFU Akimwambia "Nataka Utoe Eneo (Viwanja 2) kwa Ajili ya Kanisa langu",... Kweli ALITII ROHO WA MUNGU, na Akatangaza kuwa Ameamua kutoa Viwanja 2 ili ENEO LILE Habari Njema za MUNGU WETU MKUU Zikatangazwe, Haleluya,... "MUNGU WETU ANAOKOA MAHALI POTE, NYAKATI ZOTE, MUDA WOWOTE, JINA LA BWANA LITUKUZWE.""
Dr. Bankobeza akishuhudia kanisani Efatha Mwenge.

SHUHUDA SHUHUDA SHUHUDA.

Comments