![]() |
Mkuu wa mkoa wa Mwanza injinia Evarist Ndikiro akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Askofu mkuu Moses Kulola |
![]() |
sehemu ya umati wa watu waliohudhuria kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa baba wa kiroho Askofu Moses Kulola |
![]() |
Misururu mirefu ya watu waliojitokeza kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa askofu Moses Kulola |
![]() |
Mwili wa Askofu Mkuu wa kanisa la EAGT na baba wa kiroho wa watumishi wengi Askofu Moses Kulola |
![]() |
Mchungaji Dunstan Maboya ambaye pia aliwahi kufanya kazi na Askofu Moses Kulola miaka ya nyuma hapa akielezea jambo |
Picha zaidi zinakuja zikionesha kile kilichojiri leo
Source:mjap inc blog
Comments