
Semina kubwa ya neno la MUNGU itaendeshwa na Mwl Christopher Mwakasege jijini Dar es salaam katika viwanja vya jangwani kuanzia leo tarehe 8 September hadi Tarehe 15 September Mwaka huu 2013.
Ni nafasi nyingine kwa wakazi wa jiji la Dar es salaam na mikoa ya jirani kupokea neno la MUNGU na pia kutendewa miujiza na BWANA YESU kupitia watumishi wake.
MUNGU akubariki sana
Comments