Dada
aliyekua anasumbuliwa na matatizo mbali mbali na kushindwa kutembea
tangu mwaka jana alipokea uponyaji wake na kuweza kutembea.
Katika ibada iliyoongozwa na mch Josephat Gwajima dada huyo aliweza kutembea wenyewe bila magongo

![]() |
KIJANA ATEMBEABAADA YA MAOMBEZI
Kijana anayeitwa George Mahoo alifika kanisani ufufuo na uzima siku ya jumapili akiwa na magongo aliyoyatumia zaidi ya mwaka mzima baaa ya kusumbuliwa na matatizo ya tetenasi, akizungumza alisema mguu wake ulianza kuvimba wenyewe na maumivu makali na alipokwenda hospitali walimwambia alichmwa na kitu ambacho kilimsababishia tetenasi
Wakati ibada ikiendelea alikutana na Mungu kwa namna ya ajab na kujikuta akitupa magongo yake na kuanza kutembea vizuri bila maumivu yoyote.

Comments