![]() |
Mwl Nickson Mabena katika huduma. |
Efeso 6:10-18.
Biblia inaposema vaeni silaha zote za Mungu, ujue kuna VITA pia kuna WAPIGANAJI .
Silaha zilizotajwa kwenye kitabu cha waefeso ni;
1.Kweli.
(Yoh 17:17, Efeso 4:17, 1Petro 1:22)
2.Haki.
(Mithali 29:2,6 )
3.Utayari.
(Isaya 52:7)
4.Chepeo ya Wokovu.
(1Thes 5:8)
5.Neno la Mungu.
(Yosh 1:8, Zab 119:11,105; 2Tim 3:16; )
6.Imani.
(1Yoh 5:4; Ebra 11:1)
7.Maombi ya Muda mrefu.
(Luka 18:1; Kolosai 4:2; Math 26:36-44).
MUNGU ATUSAIDIE KUSHINDA, maana yake shetani kila siku anaongeza mbinu za kuwafunga watu wa Mungu.
Mwl Nickson Mabena katika huduma.
Comments