UPENDO MKUU WA MUNGU KWA ULIMWENGU WOTE




1.Aliumba ulimwengu pamoja na watu wote
2.Anampenda kila mtu duniani sawasawa
3.Anataka kila mmja wao aishi milele

UPENDO ULIMFANYA AMTOE MWANAWE WA PEKEE.

1.Jinsi gani mwana alivyo wa thamani kwa Mungu Baba.Hakuna baba wa kiulimwengu anayempenda mwanawe kiasi hicho
2.Jinsi gani bhabihu ya Mungu ilivyokuwa kuu
3.Mungu alimtoa Yesu bure kwa yeyote (kila mmoja ulimwenguni)
4.Alimtoa afe kulipa adhabu ya dhambi

YEYOTE ANAYEMPOKEA KRISTO HATAANGAMIA.

1.Sadaka hii ya ajabu ipo kwa wote
2.Mungu anawapenda hata waovu kabisa
3.Wokovu ni kipawa cha bure kupitia imani katika Yesu.

Comments