Walikuwa wana matatizo ya kupata mtoto, walikaa muda mrefu bila ya kupata ya mtoto, mpaka mkewe aliambiwa mgumba, lakini leo... Wana mtoto



Photo: SHUHUDA SHUHUDA SHUHUDA.
(Walikuwa wana matatizo ya kupata mtoto, walikaa muda mrefu bila ya kupata ya mtoto, mpaka mkewe aliambiwa mgumba, lakini leo... Wana mtoto)

Mwana wa MUNGU huyu akiwa na Mwanae aliyembeba, aliamua kutoka mbele ya Wana wa MUNGU kuja Kushuhudia Matendo Makuu ya MUNGU Wetu na BABA Yetu MKUU MUNGU wa Efatha, aliyotendewa katika Maisha yake. Anasema kuwa Yeye na mkewe walikuwa wanamatatizo ya Kupata Mtoto, Walikaa kwa Muda mrefu bila kupata mtoto, ilifikia mahali mkewe majirani walikuwa wanamwita ''mgumba''. Lakini Mwaka jana mkewe alisikia Habari za KUSANYIKO KUU la BWANA MUNGU WETU KIBAHA Precious Centre Efatha, mkewe akaamua kwenda Kibaha...Oooh Haleluya, MUNGU wetu ni MZURI, kwani Akiwa Kibaha, MUNGU wetu kupitia Mtumishi wake Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira aliwaita mbele wale wote ambao hawajazaa, ... Oooh MUNGU wetu ni MZURI,... IMEKUWA, Mkewe baada ya Kurudi toka Kibaha haikupita muda akapata Ujauzito na leo Wanashuhudia na KUMSHUKURU MUNGU na KUMTUKUZA,... Asante YESU.Walikuwa wana matatizo ya kupata mtoto, walikaa muda mrefu bila ya kupata ya mtoto, mpaka mkewe aliambiwa mgumba, lakini leo... Wana mtoto

Mwana wa MUNGU huyu akiwa na Mwanae aliyembeba, aliamua kutoka mbele ya Wana wa MUNGU kuja Kushuhudia Matendo Makuu ya MUNGU Wetu na BABA Yetu MKUU MUNGU wa Efatha, aliyotendewa katika Maisha yake. Anasema kuwa Yeye na mkewe walikuwa wanamatatizo ya Kupata Mtoto, Walikaa kwa Muda mrefu bila kupata mtoto, ilifikia mahali mkewe majirani walikuwa wanamwita ''mgumba''. Lakini Mwaka jana mkewe alisikia Habari za KUSANYIKO KUU la BWANA MUNGU WETU KIBAHA Precious Centre Efatha, mkewe akaamua kwenda Kibaha...Oooh Haleluya, MUNGU wetu ni MZURI, kwani Akiwa Kibaha, MUNGU wetu kupitia Mtumishi wake Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira aliwaita mbele wale wote ambao hawajazaa, ... Oooh MUNGU wetu ni MZURI,... IMEKUWA, Mkewe baada ya Kurudi toka Kibaha haikupita muda akapata Ujauzito na leo Wanashuhudia na KUMSHUKURU MUNGU na KUMTUKUZA,... Asante YESU.

Comments