Ubora wa mandhari
wa Live Recording pamoja na Itifaki ya Mtiririko wa waimbaji ndio
uliosahaulisha machungu ya Maelfu ya Wakazi wa Jiji la Dar-es-Salaam,
Morogoro, Pwani , Zanzibar na nchi jirani Kenya waliochelewa kuingia
ndani ya ukumbi wa CCC Upanga kufuatia utaratibu mpya wa usalama wakati
wa kuingia kwenye Live Recording ya “Uko Hapa” ya Mwanamuziki John Lisu.
Siku ya Jana katika Ukumbi wa CCC Upanga Mwanamuziki wa Injili John Leonard Lisu ameandika historia kwa mara nyingine kwa kurekodi albam ya pili ya DVD katika Ukumbi huo. Kabla ya John Lisu kupanda na Kuanza kurekodi watumishi wengine wa utangulizi walianza kazi ya kusafisha njia hiyo. Wanamuziki waliohudumu ni pamoja na Mbomby Johnson, Neema Gospel Kwaya, Pastor Paul Safari, Paul Clement na Abedinego Hango.
John Lisu alipanda round ya kwanza na kurekodi nyimbo 12 mfululizo ambapo katika nyimbo hizo 12 amemshirikisha mwanamuziki maarufu wa Kenya Timothy Kaberia, pia amemshirikisha Mwanamuziki bora wa Injili Barani Afrika katika Ukanda wa Africa Mashariki Christina Shusho. Katika Collable hilo la John Lisu na Christina Shusho lilikuwa la aina yake na kukonga nyoyo za watu. Mwanamuziki John Lisu alirudi tena na kumalizia kurekodi nyimbo 6 na kutengeneneza jumla ya nyimbo 18.

John Lisu akienda sawa Katika Event.
Muonekano wa Mbele
Bomby Johnson akiwa Kikazi zaidi siku ya JanaKikazi Zaidi siku Ya Jana
Watu wakiwa wanaenda Sawa
Pastor wa DPC Abel akiwa anafunguwa event kwa maombi
John Lisu na Timoth Kaberia toka Kenya wakiendaa Sawa kwenye Collable
Neema Gospel Kwaya wakienda sawa
Pastor Paul Safari akishusha kitu "Tuko Salama"
Backers Wakiwa wanaenda Sawa na pastor Safari
Twende Kazi
Mambo Yetu Yale Ya Milio Milio
Paul Clement a Kitu Cha "Mpenzi wa Karibu"
Katibu Mkuu wa TAG Pastor Ron Swai akifungua rasmi Live Recording ya Jo Lisu
Mbele
Ma Mc wa Event Godwin Gondwe kutoka ITV Ze Blogger kutoka Clouds Tv
KIkazi Zaidi
John Lisu akiwa anajiandaa Kupanda Jukwaani
Mbioooo Zikaanza za Kwenda Jukwaani
Ukiona hivi Ujue mambo ya Sebene
Back Vocalist wakienda sawa
John Lisu Ze Great
Kikazi Zaidi
Uncle Jimmy akiongoza Wadau kucheza
Watu Peopleeeeee
Full Shangwe
Kikazi Zaidi Jana
Hapana Chezea
Huyu dada huyuuuuu
Arangemaaaaa
Jana ilikuwa Kikazi Zaidiii
Kila Mtu na Kazi Yake
Kikwetu Kwetu
GODWIN GONDWE Ndani Ya Uwepo
Uweponi Mwake
Bombi na Lisu
Lukindo Jr akiwa Uweponi
Kaberia Kikazi Zaidi
John Lisu na Timoth Kaberia wakiwa Kikazi zaidi
source:martblog

Comments